Wednesday, March 2, 2022

NDOA NA FAMILIA(KWA WATU WENYE MIAKA 18* TU)

 NDOA NA FAMILIA

Nini maana ya ndoa?

NDOA NI muunganiko Kati ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja Kama mume na mke muda wao wote wa maisha Yao(umri lazima uzingatiwe)

"Kwahiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe,nao watakuwa mwili mmoja".Mwanzo 2:24

Maana yake hapo,Yale majukumu uliyokuwa unayafanya kwa wazazi wako hayataendelea kwa asilimia zote Bali majukumu yote yatakuwa NI kwa mke wako na familia yako,mnaenda kuungana kimwili na huyo mke wako uliyemchagua.Kwa maana nyingine unaweza kusema NI kuwa na makazi yenu,kutiana Moto na kusaidiana,kujitegemea kwa mahitaji yenu ya KILA siku.Hiyo ndiyo maana ya utamwacha baba na mama yako

KWA MUJIBU WA SHERIA YA NDOA YA TANZANIA(Mwaka 1971 kifungu Cha 9)

KILA nchi inautaratibu wake kwenye masuala ya ndoa, lakini kwa MUJIBU wa sheria ya ndoa Tanzania inasema;

i.Wanandoa wawe wamekubariana pasipo kulazimishwa na mtu

ii.Ndoa NI ya mwanamke na mwanaume

iii.Ni ndoa ya kudumu maishani

"BWANA Mungu akasema si vema mtu HUYU awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye". Mwanzo 2:18

Kwahiyo Mungu alimuumba mwanamke KUTOKA kwa mwanaume ili awe msaidizi wa mwanaume

"BWANA MUNGU akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala, Kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akaufunika nyama mahali make".Mwanzo 2:21

Hivyo mwanamke alitokana na mwanaume yaani mume anatakiwa amuone mke wake NI Kama NI moja ya sehemu yake ya MWILI (ubavu wake)

"Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA MUNGU akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu".Mwanzo 2:22

KUPITIA ule ubavu wa mwanaume,Mungu akaamua Sasa aufanye kwa kuweka nyama ili aweze KUTOKA mtu ambaye NI mwanamke ambaye anafanana na Adamu kwa njinsi na jinsia tofauti

"Adamu akasema,Sasa hutu NI mfupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu,Basi ataitwa mwanamke kwa maana ametwaliwa katika mwanaume".Mwanzo 2:23

Kumbe mke wako unatakuwa umuone Kama NI moja ya mifupa yako na nyama ya MWILI wako.Kama utamuona mke wako kwa namna hiyo hakika utampenda Sana na kumjari kwa thamani kubwa maana NI moja ya viungo vyako,mfano akilia,akiumia maana yake wewe hauwezi kunyamaza na kumpuuzia lazima utamuangalia Kama vile jicho lako likiingia mchanga huwezi kuliacha Bali utaliangalia.Ndivyo hivyo mke wako unatakuwa umuone hivyo

NDOA NI AGANO (Mkataba)

Tunapozungumzia agano tunamaanisha makubaliano ya wawili na NI lazima kuwepo na kiapo.Ndoa ilianzishwa na Mungu mwenyewe,tunaweza kusema NI Taasisi iliyoanzishwa pale kwenye bustani ya Edeni.Maana yake Kuna kanuni zake na sheria zake za kuenenda au kufuatwa.Biblia inasema ndoa na iheshimiwe na watu wote 

"NDOA na iheshimiwe na watu wote na makazi yawe Safi kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu".Waebrania 13:4 

I..Ndoa lazima iheshimiwe,maana yake mtu anapokuwa yupo NDANI ya ndoa NI heshima kwa watu wote,Basi na nyinyi wanandoa jiheshimuni

ii.Malazi yawe Safi,maana yake NDANI ya ndoa nyinyi wenyewe mnapaswa kuwa safi kwamba unamke wako,unamume wako huyo ndiye atakayemaliza hamu yako ya tendo la ndoa na siyo mwingine wa nje,kwenda kufanya uzinzi hapana,lazima tendo la ndoa lifanywe na wanandoa tu wenyewe wawili tu!!!

NDOA NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU

MUNGU ametupa ZAWADI hii inabidi na sisi tuilinde,tuithamini,tuitunze,tuikubali,tuipende n.k.Haiwezekani upewe ZAWADI harafu uipuuze,hila Jambo linakuwa si la kiungwana hata kidogo.Basi tukitambua ndoa NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU Basi tutaiheshimu

NDOA NI TAASISI TAKATIFU

KILA mwanandoa atimize wajibu wake,kupendana,mapenzi yawepo (msinyimane)kujitambua kwamba wewe NI mwanandoa,kuachana na ubinafsi,kuendelea kujifunza kuhusu masuala ya ndoa,mtendee mwenzako mambo mazuri,NI baraka ,NI umoja n.k 

MAMBO YA KUZINGATIA WEWE MWANANDOA 

Aliyeanzisha ndoa NI Mungu mwenyewe,kutaka kuoa au kuolewa NI wazo la Mungu kabisa,ndoa NI kuondoa upweke,ndoa NI furaha,mwanaume NI kichwa,mwanamke NI moyo-msiadizi,ndoa inahitaji muwe pamoja hata Kama mpo mbali lakini muwe pamoja kimawazo,ndoa lazima itunzwe 

FAMILIA NI NINI? 

Familia NI mahusiano ya undugu wa damu au usio wa damu,lakini Mimi hapa nazungumzia familia ya wanandoa katika maisha Yao,kwa maana wanaoanzisha familia hiyo na waliopo 

"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake,kwa mfano wake Mungu alimuumba mwanamume na mwanamke aliwaumba".Mwanzo 1:27 

Kwa mantiki hiyo Mungu ndiye yeye aliyemuunganisha mwanaume na mwanamke ili watengeneze familia Yao 

"Mungu akawabarikia,Mungu akawaambia zaeni mkaongezeke,mkaijaze nchi....".Mwanzo 1:28 

Kimsingi hapa Mungu alikuwa anawataka wakatengeneze familia kwa kuzaa WATOTO ili waijaze nchi.Ndiyo dhana yangu ya familia hapa.Nawewe ambaye hauna mtoto, ninaiamuru mamlaka za mbinguni zikupatie WATOTO katika jina la YESU Kristo,Seema Amina napokea 

FAMILIA INAHUSIKA NA VITU GANI? 

1.BABA NDIYE KICHWA CHA FAMILIA 

Maana yake,yeye ndiye msimamizi mkuu katika kutatua changamoto mbalimbali ZILIZOpo NDANI ya familia.Yeye ndiye kiongozi wa familia katika kuiendesha kwa kuwajibika kwake 

2.MAMA NDIYE MSAIDIZI(MOYO) WA FAMILIA 

Maana yake NI msaidizi wa baba(mume wake) kuhakikisha familia Yao ipo sehemu Fulani katika kuiongoza.Hivyo baba na mama ndio viongozi wa kuhakikisha familia inakaa vizuri 

3.WATOTO/MTOTO 

Katika familia WATOTO NI viongozi au NI watendaji wadogo katika familia ambao Hawa ndiyo kichocheo Cha wazazi kufanya bidii zote kuhakikisha wanakuwa nafuraha  pamoja na amani NDANI ya familia Yao 

4.NDUGU 

Hapa nazungumzia ndugu wa Aina yoyote awe baba,mama,Bibi,shangazi n.kwote hao NI ndugu,hivyo Kama mume na mke NI kuhakikisha familia yenu inakuwa salama 

5.MARAFIKI 

Hawa NI moja ya ndugu katika familia NI kutokana na namna mnavyoishi nao,hapa nazungumzia wafanyakazi wenzako,majirani n.k.Mume na mke mnapaswa kuenenda kwa akili si kila ushauri mnaopewa muufanyie kazi,hapana,kaaeni Kwanza utathimini na mchambue je,unafaa au laah! 

6.UPENDO

Upendo ndiyo kila kitu katika maisha ya ndoa na familia bila upendo hapo ndoa haipo itakuwa NI kivuli Cha ndoa,upendo ndiyo tunda la roho 

"Liking tunda la Roho NI upendo,furaha,amani,uvumilivu,utu wema,fadhili,uaminifu,upole,kiasi,juu ya mambo Kama hayo hakuna sheria".Wagalatia 5:22-23 

"Enyi waume wapendeni wake zenu Kama Kristo naye alivyolipenda kanisa,akajutoa kwa ajili yake".Waefeso 5:25,endelea kusoma mpaka mstari wa 33.Kumbe wanaume tunatakiwa kuwapenda wake ZETU,wanawake wao wanataka kupendwa 

7.UTII(KUTII) 

Katika familia utii ukiwepo Basi mambo yataenda vizuri Sana lakini si kila kitu utii tu hapana.Wanawake wao ni mnatakiwa kuwatii waume zenu,wanaume wao wanapenda utii KUTOKA kwa mke wake 

"Ninyi wake watiini waume zenu Kama ipendezavyo katika BWANA*Wakolosai 3:18 

"Ninyi WATOTO watiini wazazi wenu katika Mambo yote,maana Jambo hili lapendeza katika BWANA".Wakolosai 3:20 

"Ninyi watumwa watiini hao ambao kwa mwili NI bwana zenu.....".Wakolosai 3:22

KATIKA FAMILIA NYINGI UTAKUTA UTII HAUPO,WAKE HAWATII WAUME ZAO,WATOYO NAO HAWATII WAZAZI WAO,WATUMWA NAO HAWATII BWANA ZAO.FAMILIA IKIFIKIA KATIKA MAZINGIRA HAYA INAKUWA KATIKA HATARI KUVWA SANA YA SHETANI KUINGIA NA KULETA MAMBO YAKE.KUMBUKA SHETANI YUPO ANAZUNGUKA ZUNGUKA AKITAFUTA MTU AMMEZE,AMEZE NDOA.FAMILIA IKISHAINGIA KWENYE MIGOGORO HAPO KAMA MUME NA MKE HAWATAKUWA MAKINI KUJUA TATIZO NI NINI,FAMILIA INAWEZA IKAHARIBIKA KABISA 

BWANA YESU AKUSAIDIE KATIKA JINA LAKE LA THAMANI

Thursday, February 24, 2022

MIKATABA YA MOTO PART 2

 Baada ya kukirishwa maneno na kupokea kipigo ambacho hujawai pigwa,kumbuka Kuna MAJINA ya sehemu hiyo wao wameweka kinamba,Kuna namba 6,5,4,3,2 zote sehemu hizo unakula kipigo.Namba moja unapelekwa kunyooshwa then unapigwa usingizi mzito na kupelekwa namba 6 na kukurudisha nyumbani kwako na kutoa/kukutoa kumbukumbu zako yaani wanayachomoa matukio,ukiamka unasema nimeota ndoto za kutisha,Kama uliota ndoto za kutisha Tisha na hukumbuki, lengo la shetani NI usitafute msaada,unajisikia amani kwenda kinyume na mapenzi ya Mungu.Mambo ya Ki-Mungu huna habari nayo na unachoka,kuomba unashindwa kusoma Biblia usingizi mzito Sana hata mistari miwili umalizi yaani unachoka.Mfano ukaamua kuanza kumtafuta Mungu,yanatumwa mapepo na wanaacha kazi zao ili wakushughulikie na kuhakikisha unarudi au unakuwa upande wao.Mtu mwenye mkataba wa Moto akaombewa mfano kuacha ulevi,uzinzi,uasherati,wizi n.k anarudia Tena na Tena,hawezi kuacha atajitahidi siku mbili au wiki moja hata mwezi mtamkuta Tena anafanya yaleyale na yuko radhi kupewa Sala ya toba,ukikutana na mtu Kama huyo muombee kwa kuvunja mikataba ya Moto aliyounganishwa kwa kwa kujua au kutokujitambua

KWA MTU ALIYEOKOKA

Shetani atakuuliza unataka kumtumikia Yesu au shetani?ukisema nitamtumikia Yesu, unapelekwa kwa bwana Moto,atakupokea HUYU MWILI wake wore unawaka Moto au tuseme umejengwa kwa Moto,ukiingizwa huko anamchomoa mtu wako wa NDANI kwa kukupasua sehemu yako ya kifua na anamchomoa mtu wa NDANI na anaweka pepo NDANI yako na kukurudisha na hukumbuki unamkataba unakuwa na siku 7-10,KILA baada ya siku 7,8 ugonjwa unakusumbua,hapa wanakuwekea MWILI wa kuzimu kwa matarumbeta na unapelekwa zone namba 9.Hapa Kuna uzio wa kioo kwenda zone namba 10 yaani NI uwanda wa mateso.Sehemu hii ndiyo ya kwenda kwa Mungu au kwa shetani.Mpaka hapo utakuwa umenielewa,Cha kuongezeka je,utafanyaje Sasa mtu asiingie,asiingizwe huko maana watu wengi wameunganishwa bill was kujua au kutokujua,Sasa Cha kukusaidia omba Maombi haya

MAOMBI YA KUJITOA KWENYE MIKATABA YA MOTO

1.Omba msamaha mbele za Mungu,muambie akusamehe maovu yako yote

2.Wasamehe wore waliokukosea na uwaacholie,Biblia inasema msipo wasamehe watu makosa Yao hata Baba wa mbinguni hata wasamehe ninyi makosa yenu,achilieni nanyi mtaachiliwa

3.Jivue KILA MWILI wa kuzimu uliovishwa

4.Mkomboe mtu wako wa NDANI

5.Vunja mikataba yote ya Moto uliyounganishwa kwa kujua au kwa kutokujua

BWANA YESU awe pamoja nawe na akupe kibali Cha kuomba



Wednesday, February 23, 2022

MAOMBI YA KUJINASUA NA MIKATABA YA PICHA

 MAOMBI haya inabidi uombe kwa imani usiwe na Shaka yoyote

MAOMBI

NINAVUNJA KILA MADHABAHU ZA TALAKA KWENYE NDOA KATIKA JINA LA YESU.NINAKOMBOA KITOVU CHANGU MAHALI POPOTE KILIPO,NINAKOMBOA VITOVU VYA WATOTO  WANGU KWA JINA LA YESU . NINAKOMBOA NGUO ZANGU KWA JINA LA YESU.NINAKOMBOA CHOCHOTE KINACHONIHUSU KWA JINA LA YESU.NINAKOMBOA CHOCHOTE KINACHONIHUSU WATOTO WANGU KWA JINA LA YESU,KILA PICHA ZANGU ZILIPOWEKWA KWENYE CHUNGU,CHUPA,KIBUYU NA MAHALI POPOTE,KILA PICHA ZA WATOTO WANGU NAZIKOMBOA TOKEA MAHALI POPOTE KWA JINA LA YESU,MAJINA YANGU NA YA FAMILIA YANGU YALIYOPELEKWA KWENYE MADHABAHU ZA KISHETANI NINAYAKOMBOA,KILA DAMU YANGU ILIYOCHUKULIWA NA MGANGA WA KIENYEJI NA KUIWEKA KWENYE MADHABAHU ZAKE NAIBADILISHA KWA JINA LA YESU.KILA MASHETANI YANAYOSIMAMIA PICHA ZANGU,KILA MAUTI,MMAGONJWA YALIYOTENGENEZWA KUPITIA PICHA ZANGU TEKETEA,KILA PICHA ZA FAMILIA YANGU NAZIKOMBOA,NAZIKOMBOA PICHA ZETU KWA DAMU YA YESU.KILA PICHA ZETU ZILIPOWEKWA KWENYE VYOO,NDANI YA CHOO,NDANI YA SHIMO LEO NAZIKOMBOA.NYOTA ZANGU NAZIKOMBOA,ZA WATOTO ZA MKE/MME NAZIKOMBOA KWA DAMU YA YESU KRISTO.KILA AINA YA PICHA YANGU WALIYOININ'GINIZA KWA MGANGA NAIKOMBOA,IWE PORINI NA SEHEMU YOYOTE KWA JINA LA YESU.KILA MTU ANAYENUIZIA PICHA ZANGU NAMRIPUA KWA MOTO WA ROHO MTAKATIFU.KILA PICHA ZANGU ZILIZOZIKWA KWENYE MAKABURI,MAJENEZA,BAHARINI LEO NAZIKOMBOA.KILA PICHA NA NYOTA ZANGU ZILIZOFANYIKA NA KANIKI,KITAMBAA CHEUSI AU KITAMBAA CHA AINA YOYOTE,NAACHILIA MOTO KWA JINA LA YESU.KILA MIKOBA YENYE PICHA ZANGU NINAZIKOMBOA,KILA PANGO LENYE PICHA ZANGU NAZIKOMBOA,NINAKWENDA KUJIKOMBOA PICHA NA NYOTA ZANGU KWA  JINA LA YESU, NINAKOMBOA PICHA ZANGU KWENYE MITO, MAZIWA,MABONDE,KILA PICHA ZANGU ZILIPOWEKWA KUZIMU,NAZIKOMBOA,NATUMA MALAIKA TOKA MBINGUNI WAENDE WAKAKOMBOE PICHA NA NYOTA ZANGU KWA JINA LA YESU.KILA KITI CHA KISHETANI KILICHOSHIKILIA NA KUMILIKI PICHA NA NYOTA  ZANGU,NAKIPASUA KWA JINA LAYESU.ENYI MASHETANI ACHIAA PICHA NA NYOTA ZANGU KWA JINA LA YESU.

Nipende kusema Maombi haya NI machache,unaweza kuendelea kuomba MAOMBI mengine zaidi ya hayo ya kukomboa picha na nyota zako na familia yako katika jina la Yesu

BWANA YESU AKUFUNGUE,KWA JINA LA YESU.AMEN!!!!!!!

MIKATABA YA PICHA NA JINSI YA KUJINASUA

 Mikataba ya picha

Sasa hivi kutokana na kukua kwa teknolojia hasa ya mawasaliano.Kuna mitandao ya kijamii mbali mbali ipo a inaanzishwa kwa kasi,mfano Facebook,ins Instagram, WhatsApp, Twitter no., ambapo zinakupa Uhuru wa kutuma picha,maneno na hata video.Shetani naye anatumia mbinu zake kwa kushirikiana na mawakala wake ili wakupate au wampate mtu.Siku hizi unaweza kukuta mtu amegombana na mwenzake,utakutana amepost hisia zake kwenye mitandao (DON'T POST YOUR FEELING IN SOCIAL NETWORKS

Inawezekana ulipiga picha na mtu ulinua NI kwa furaha tu,kumbe mwenzako alikuwa na Nia mbaya na wewe.Au anaichukua picha yako kutokana kwenye mtandao wa kijamii.Inawezekana happy Mwanzo ulikuwa na mpenzi wako lakini zikatokea sintofahamu ukamuacha,ulipiga picha naye au ulimpa picha zako au Kuna mtu alichukua picha zako za harusi n.k

Anampelekea mganga wa  kienyeji ili aifanyie vitu Fulani Fulani vibaya, mganga huyo anaweza

1.Kuizika picha hiyo kwenye kaburi

2.Kuikata kata na visu au viwembe na vitu vingine vyenye ncha Kali3.Kuichora vitu Fulani

4.Kuihifadhi kwenye chungu,kibuyu,chupa n.k

5.Wanaweza kuichoma Moto na majivu wakayaifadhi

6.Wanaweza kuining'iniza sehemu mbalimbali

Na mambo kadha wa kadha ,wakazifanyia JINSI wanayotaka wait,ili mambo mabaya yampate mtu.

"Simama Sasa na uganga wako na wingi wa uchawi wako,uliojitaabisha nao tangu ujana wako,labda unaweza KUPATA faida,labda unaweza kushinda".Isaya 47:12

Mtu anapokwenda kwa mganga akishampa picha ya mtu husika.Aliyepeleka atadaiwa apeleke jina la muhusika,apeleke kuku,mbuzi,ng'ombe n.k. Ataandaa vitu kwa ajili ya kutimiza Hilo kusudi lake baya,Ataandaa madhabahu,kafara ataipeleka kwa miungu yake

"Lakini watendeeni hivi,zivunjeni madhabahu zao zibomosheni nguzo zao,yakateni maashera Yao,ziteketezeni kwa Moto sanamu zao za kuchonga".Torati 7:5

Wanaiunganisha picha hiyo kwa miungu Yao kwa kuifanyia mikataba I'll mtu yule apate matatizo Kama vile laana,mauti,usiolewe au kuoa,kuvunja ndoa,masomo,kazi, biashara,nuksi,shida,taabu na Kila Aina ya udhaifu.Leo tunakwenda kuvunja mikataba ya picha kwa jina la Yesu Kristo

MAOMBI YA KUVUNJA MIKATABA YA PICHA

BABA MUNGU KATIKA JANA LA YESU,BWANA YESU NAKUOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE KATIKA JINA LA YESU.ASANTE YESU KWA KUNISAMEHE.NINAALIKA MALAIKA KUTOKA MBINGUNI WAUNGANE NAMI,ROHO MTAKATIFU AUNGANE NAMI KATIKA VITA HII KWA JINA LA YESU.NINAINGIA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO MUDA HUU NA MALAIKA WA MBINGUNI NA ROHO MTAKATIFU,NINASIMAMA KINYUME NA KILA MADHABAHU ZA KISHETANI ZILIZOFANYIKA KWENYE PICHA ZANGU,NINAVUNJA KILA MIKATABA YA PICHA ILIYOFANYWA JUU YANGU,NINAVUNJA KILA MIKATABA ILIYOFANYWA KWA WATOTO WANGU,NINAHARIBU KAFARA ZOTE ZILIZOTOLEWA JUU YA PICHA YANGU KWA JINA LA YESU.NINAHARIBU KILA KAFARA ZOTE ZILIZOTOLEWA KWENYE PICHA ZA WATOTO WANGU,NINAWATEKETEZA MIUNGU WOTE WA MADHABAHU ZA KISHETANI KWA JINA LA YESU,NINATEKETEZA MUNGU WA MADHABAHU ZA KISHETANI KWA JINA LA YESU.KILA PICHA ZANGU ZILIZOPELEKWA KWENYE MADHABAHU ZA KICHAWI NAZIBOMOA KWA JINA LA YESU,KILA PICHA ZA WATOTO WANGU  ZILIZOPELEKWA KWENYE MADHABAHU ZA KICHAWI,NAZIBOMOA,KILA MAHALI POPOTE PICHA ZANGU ZILIPOWEKWA KWENYE MAKABURI NINAZIKOMBOA,KILA MAHALI POPOTE ZILIPOWEKWA PICHA ZA WATOTO WANGU NAZIKOMBOA,NINAKOMBOA NYWELE ZANGU KUTOKA KWENYE MADHABAHU ZA KISHETANI



Monday, February 21, 2022

MIKATABA YA MOTO

 Mikataba ya Moto hii NI unaweka Kati ya mtu na shetani ukiwa na akili zako zote,shetani anapenda Kila mtu aishi kwa mapenzi yake.Unapokuwa umelala yanatumwa mapepo na kukubeba wanakupeleka sehemu inayoitwa SEHEMU YA MOTO,hapa unabebwa mzima mzima siyo roho yako na wanahakikisha ulinzi unawekwa was kutosha kwenye nyumba yako, yaani asitokee mtu akazuia Kama NI mtu wa MAOMBI wanahakikisha wore wamelala usingizi.Ukifika huko unaamshwa na unaulizwa unataka kwenda kinyume na mapenzi ya shetani?

ANAYEPELEKWA HUKO

NI mtu aliyesikia ijili akaokoka na kuacha,NI mtu aliyesikia injili akaokoka lakini anatamani kuacha,aliyesikia injili,akaombewa na Hana mashaka kabisa na YESU I'll I'll hajawai kuokoka,anasema najipanga Kwanza.Ukiwa kule chagua moja ukitaka kumtumikia Mungu wako hutoki.Kama unataka kumtumikia shetani utarudi nyumbani mwako na mkataba,unakirishwa maneno na unapokea kipigo.Ngoja niishie hapa nitaendelea part 2

Saturday, February 19, 2022

RATIBA MPYA YA TAMISEMI KWA SHULE ZOTE



 

Hii ni RATIBA MPYA ya shule zote za Tanzania

NJIA RAHISI KABISA YA KUWEKA MATANGAZO KWENYE BLOG YAKO

 Kwa kawaida Kuna makampuni mbali mbali ya matangazo ambayo yanasaidia blog zizidi kuendelea kwa kuweka matangazo Yao.Makampuni hayo Kila mmoja anamasharti yake, kampuni hizo zingine masharti Yao NI magumu Kama ukiangalia nchi Kama Tanzania,mtu umwambie tunatakiwa Blog YAKO iwe na content za kiingereza (English Language), nakuambia hapo hizo content zitakutaka na is zoo na but also nyingi Sana na hata ujumbe anaotaka kuufikisha kwa watu itakuwa kazi ngumu mno na hata hao walengwa wenyewe English haipandi kiviile na ukipelekea Watanzania hatutaki kusoma soma vitabu na makala mbali mbali ataona anapoteza muda tu kwenye content zako za English Language, mfano kampuni ya Adsense wao wanataka Blog YAKO iwe na content za English Sasa unadhani umeandika kindengeleko, kingoni, kinyamwanga, kindali nk,watakupa matangazo?happy no BIG NO!!!

Sasa naona unashauku kubwa ya kujua yaliyomo si ndiyo, yaliyomo yanafurahisha na kazi inaendelea.Sasa Basi nitazungumzia makampuni machache tu ambayo hayachagui lugha YAKO na namna ya kuweka matangazo Yao au kukubaliwa kwa urahisi.Soma Kwanza kwa kuyasoma hayo maelekezo Kwanza sio kukimbilia mbele tu wakati umeacha maelekezo nyuma ambayo yanasaidia kufanikisha hicho unachokiitaji baadae ukafanya YAKO wakakukatalia ukasema Mimi nimekudanga.Watanzania sisi tunapenda kumtangulia mtu yaani tunataka short cut.Soma Kwanza maelekezo hapo.Pole kwa kueleza maneno mengi ndugu yangu.Haya Sasa soma maelezo haya kwa umakini usipokuwa makini hujaelewa na Mimi nitatumia short cut Kama wewe unavyopenda.

MAKAMPUNI HAYA HAYACHAGUI LUGHA

1.Revenuehits

Hii NI kampuni bora Sana kwako ya matangazo,chakufanya nenda kwenye Google andika Revenuehits.com baada ya hapo sign up au creat.Jaza details zako unazotakiwa JINSI wanavyokuambia,kuelekeza,ukifanikisha kujisajili,watakutumia ujumbe kwenye email YAKO,kumbuka iwe active.Sasa fuata maelekezo wanayokuambia then malizia yote wanayotaka wao.Kama unapewa jibu siku hiyo hiyo NI sawa ila uwe unaifungua baada ya dakika 3-5.Tufanye umemaliza usajili.Nenda kwenye Google ifungue blog yako,hapa NI vyema utumie computer na sio simu maana ukipewa hizo code utapesti kivipi?

How can you copy and paste?

Hapa zingatia uwe unaifungua TAB mbili au tatu, yaani ya Blog YAKO, Revenuehits na email YAKO.Haya Sasa upo kwenye Dashboard ya Revenuehits,nenda kwenye New placement chagua Desk top placement,select your placement mfano unataka matangazo ya banner, pop-under,slide nk.Fuata maelekezo happy unapewa code,copy hizo code na nenda kwenye blog yako,fuata sehemu iliyoandikwa LAYOUT and click add a gadget,bofya HTML/JavaScript and paste ad copy zako hapa.Baada ya hapo bofya save,mpaka happy utakuwa umemaliza

2.Adsterra

Hapa sitarudia Tena maelekezo yaliyopita Kama unaipenda hii kampuni ya matangazo niliyokueleza happy juu kwenye Revenuehits.Mtu anaweza kujiuliza nayo hii inakubali lugha yoyote?jibu NI ndiyo inakubali lugha yoyote hata kisukuma.Nenda kwenye blog yako,seh seh ya menu tafuta LAYOUT click add a gadget,select HTML/JavaScript na upesti code zako hapa.Bofya save,mchezo hapo utakuwa umemaliza

3.Bidvertiser

Nenda kwenye LAYOUT ya blog yako click widget (add a new widget),bofya HTML/JavaScript widget na paste code hizo ulizopewa,baada ya hapo bofya save.Kazi umeimaliza

4.Propeller

Hii pia inakubali lugha yoyote futa kile wanachokuelekeza na maelekezo niliyokuamboa happy yatumie Kama ujuzi.

Nipende kusema hongera Sana najua utakuwa umeelewa,lakini Kama hujaelewa unaweza kunitumia sms au ukanipigia simu hii:0765101507,+255765101507.ASANTE SANA YATENDEE KAZI HAYO



Thursday, February 10, 2022

NAFSI YA MTU

 Nafsi:NI ile sehemu ambayo in ufahamu was mtu mwenyewe au kiini Cha ubinafsi wa mtu

Nafsi unaweza kusema NI sehemu yenye ufahamu ambapo vitu vyake kujifunza au elimu au kumbukumbu vinakaa happy.

Na Roho huipa nafsi nguvu au kuwa mahiri kwenye eneo Fulani ambalo rohoni umebarikiwa ili hicho kitu kizihirke kwenye ulimwengu wa MWILI na kazi ya nafsi NI kufikiri,kutafakari,kuona hisia,utashi,Nia,kuamua,upendo no"BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi,akampulizia puani pumzi ya uhai mtu akawa nafsi hai".Mwanzo 2:7

"Ndivyo ilivyoandikwa mtu wa Kwanza,Adamu,akawa nafsi iliyo hai,Adam A wa mwisho NI roho yenye kuhuisha".1Wakorintho 15:45

"Vivyo hivyo na imani isipokuwa in matendo imekufa nafsini mwake". Yakobo 2:17

"Ambaye nafsi ya kilichoweka hai I mikononi mwake.Na pumzi zao wanadamu wore"".Ayubu 12:10

Hivyo nafsi ya mtu anaweza kufungwa ili yule mtu aliyekusudiwa na Mungu happy duniani kuyatenda you're yampasayo mtu huyo atashindwa.Kwahiyo nafsi inawezwa kuwekwa kifungoni

"Uitoe nafsi yangu kifungoni.Nipate kulishukuru jina lako.Wenye haki watanizunguka,kwa kuwa wewe unanikirimu".Zaburi 142:7

"Maana fadhili zako kwangu NI nyingi Sana,umeiopoa nafsi yangu na kuzimu". Zaburi 86:13

"Maana umeniponya nafsi yangu na mauti,je,hukuizuia miguu yangu isianguke?Ili nienende mbele za Mungu katika nuru ya walio hai". Zaburi 56:13

MAOMBI

BABA Mungu katika jina la Yesu Kristo ,leo ninasimama kinyume na kala roho zote za Giza zilizofunga nafsi yangu,nakivunja Kila kifungo kilichofunga nafsi yangu kwa jina la Yesu.Ninaiopoa nafsi yangu ilipowekwa kuzimu na mtu awaye yoyote kwa jina la Yesu.Kila falme za Giza zilizoichukua nafsi yangu ninaiamuru niachie mara moja kwa jina la Yes.Katika jina laYesu Kristo ewe nafsi yangu nisikie mahali popote ulipo,Leo nakutoa happy ulipo kwa jina la Yes.Kila anayeniharibia nafsi yangu isiniletee matunda mema,leo naamuru upigwe na kupiga kwa jina la Yes Yesu.Kila aliyeitaabisha nafsi yangu kwa mateso nakuchoma Moto mpaka majivu kwa jina la Yes.Ewe mzimu wa familia,ukoo,mji,nchi uliyeizuia nafsi yangu nafanya Vita na wewe kwa jina la Yes.Nafsi yangu ulipo wekwa chini ya mti, nakutoa kwa jina la Yes.afsi yangu ilipowekwa juu ya mti,leo nakutoa happy kwenye huo mti kwa jina la Yes.Nafsi yangu ilipowekwa madukani,kwe kwe ofisi, kwenye magodauni leo nakutoa kwa jina la Yes.Kila aliyefunga nafsi yangu nakuponda kwa nyundo ya Bwana Yes,kati ka jina la Yes.Kila shimo ,kaburini lililofunga nafsi yangu leo Sasa hivi naikomboa kwa jina la Yes.Kila pingu lililofunga nafsi yangu naliwashia Moto kwa jina la Yes.Kila wakala wa kishetani aliyeitaabisha au anayeitawala nafsi yangu leo naitoa kwenye utawala wako kwa jina la Yes.Kila gereza,Kila nyumba iliyofunga nafsi yangu leo naivunja kwa jina la Yes.Kila jeneza lililoweka nafsi yangu NDANI yake nalipasua na kulichoma Moto kwa jina la Yes.Kila anga lililokamata nafsi yangu leo niachie mara moja kwa jina la Yes.Kila sayari iliyo au inayoimiliki nafsi yangu leo natuma malaika wa mbinguni wa Yes Kristo wakaitoe nafsi yangu kwa jina la Yes.Ewe jua unayoichoma nafsi yangu leo nakuripua kwa jina la Yes Kristo.Ewe mwezi ulioishikilia nafsi yangu leo niachie mara moja kwa jina la Yes.Kila kimondo kilichofunga nafsi yangu leo Sasa hivi nakutowesha kwa jina la Yes.Ewe nafsi yangu nakutoa kwenye Kila bahari ilipowekwa iwe chini ya bahari au juu ya bahari nakukomboa kwa Moto kwa jina la Yes.Kila kisiwa kilichofunga nafsi yangu leo nakuteketeza kwa jina la Yes.Kila choo au bafu la kuogea lililoweka nafsi yangu leo niachie kwa jina la Yes.Kila shamba lililoweka nafsi yangu leo nalitekeza kwa Moto wa Roho Mtakatifu,kwa jina la Yes Kristo


SEHEMU ZA MTU KIROHO PART 2

 Mwanzo niliishia sehemu ya nne za mtu kiroho.Kumbuka mwanadamu silaha kubwa aliyokumpa Mungu NI MAOMBI na Kila mtu anaye adui wake ama unajua ama ujui.Sasa hebu tuendelee

5.Mji wa heshima:Hii NI sehemu inayohusika na mtu kuheshimiwa sio kuogopwa,maana kun kuheshimiwa na kuogopwa NI vitu viwili tofauti.Ni Bora kiongozi au mzazi watu wakuheshimu kuliko kukuogopa,maana watafanya vitu NI kwasababu ya kukuogopa, unaweza kutoa hojo Kila mtu anasema ndiyooo mkuu ujua wanakudanganya lakini akitokea wakusema hapana huyo unapaswa kumsikiliza vizuri.Sehumu Hii NI ya adabu,hekima,busara za mtu,utii,no,na sio kutii Kila kitu wakati unaona Kuna hatari.Sehemu Hii ndiyo itiayo mfanya mtu au kiongozi aongoze,Kuna mtu akikuona leo anatamani akuone Tena au akusikie Tena,kwanini NI kwasababu ya heshima uliyonayo.Kwahiyo ukimuona mtu Hana heshima ujue sehemu hii imeharibiwa,mfa mf unamkuta mtu anadharauliwa,kupuuzwa,kuvaa nguo fupi,milegezo no,watu kwa vili hawamtakii mema utawasikia umependeza Sana lakini muhusika hajui kama hiyo NI kejeli.

6.Mji wa mapombano:NI sehemu inayohusika na nguvu za KIROHO,NI uwanja wa Vita,Vita ninayozungumzia hapa siyo ya kimwili Bali NI ya rohoni yaani nguvu za KIROHO ,mashambulizi you're yanafanyaka hapa.Pepo akitumwa anakuja happy anatawala then anafanya mashambulizi--aumivu.Hapa NI kituo Cha pepo aliyetumwa,pepo linaweza kukaa Kama hakiba.Ndiyo maana tunatakiwa kuomba MAOMBI ya kupambana mtu unapaswa kuwa na nguvu za KIROHO ,JINSI unavyoomba nguvu zinaongezeka.Ukimuona mtu anashindwa kuomba hata maneno kumi ujue sehemu hiyo imeshambuliwa leo mtoe pepo aliyakaa kwenye mji wako wa mapombano kwa jina la  Yes Kristo.Kikawaida unapokoka tu unapewa nguvu hiyo ili Sasa iweze kuongezeka NI bidii YAKO sasa 

7.Mji wa ndoto:NI sehemu inayohusika na uweza,nyota.Kikawaida Kila mtu anaota ndoto hata mtoto mdogo,ukimsikia mtu anasema Mimi sioti ndoto sio kweli anaota ila anazisahau kutokana na sababu mbalimbali yamkini shetani ameiiba,ndoto asili yake NI Kama upepo,pia ulikuwa ulimwengu wa roho no ndiyo maana umesahau.Kikawaida mtu kwa siku anaota ndoto elfu 10, ndoto ndiyo kihashilia mtu atakuwa nani,vile vile happy ndipo penye uwezo wa kutafsiri ndoto mfano Yusufu mwana wa Yakobo aliota ndoto zaidi ya moja,Mungu alikuwa anamuonyesha atakuja kuwa kiongozi mkubwa,soma Mwanzo 37:1-36;sura ya 40'41 zote utaona habari yake

8.Sheria:NI sehemu inayohusika na kanuni,taratibu,hiyari ya kutenda jambo,kufuata sheria,mtu anaweza kufanya Jambo kubwa kuliko uwezo wake.Vile vili NI kanunu unazojiwekea kwamba kill siku lazima niombe kuanzia saa sita usiku au saa nane,asubuhi ukiamka,au kutofanya mambo mabaya no.

Sasa nimeeleza mambo mbalimbali kuhusiana na sehemu hizi za mtu kiroho,mtu anaenda kwa mganga wa kienyeji na huyo mganga anadeal na hayo.Kuwa making muombe Mungu siku zote bill kukata tamaa Kama jibu hujalipata Leo kesho utalipata.Mungu akubariki na kukulinda katika jina la Yesu Kristo.

Kama hujaelewa unaweza kuwasiliana nami kwa namba hizi 0765101507,Outside  TZ +255765101507(TANZANIA)

SEHEMU ZA MTU KIROHO

 Kikawaida sisi wanadamu tuna sehemu mbalimbali kiroho,hizo zikiharibiwa happy mtu maisha yake kimwili na hata mambo ya kiroho mtu huyo anaaribikiwa.Na shetani anadili Sana na vitu hivyo,au tuseme mawakala wake wanaangalia vitu hivyo kwa mtu na kuanza kuviharibu au kuweka vitu vyake vingine.Mfano utamsikia mtu anasema tutaona Kama utaolewa,au utafanikiwa katika maisha YAKO,ujue mtu huyo anakwenda kudili na vitu nane ambavyo Kila mtu anavyo

 Au mtu anaweza asikuambie moja kwa moja lakini akitaka kukuharibia anafanya vitu vyake kwa kutamka maneno mabaya juu ya mtu,hata watumishi was Mungu utamsikia anasema tutaona au anasema nakufut kazi na na mambo mengine mabaya,Leo nataka nikupe Siri yake anavyo fanya.Kitu Cha Kwanza atafunga mifungo kwa ajili YAKO na kuomba MAOMBI ya uharibifu na wewe Wala hujui chochote kinachoendelea,unanyamaza hauombi nakuambia mabaya yatakuja kwanini wanasimamia neno linalosema maneno NI roho,Tena NI uzima  na wachawi wanafanya hivyo hivyo na ndiyo maana Yes anasema tuombe Kila siku.Ukifuatilia makala zangu nalisha Seema namna ya kufanya MAOMBI,hakika mpaka happy umenielewa,Sasa Basi hebu twende tuziangalie hizo sehemu.

1.Mji wa mafanikio:Sehem S hii inahusika na utajiri wa mtu,mali, mafanikio,Raha,starehe,furaha, maisha mazuri,n.k ukiona mtu afanikiwi ujue Kuna mtu amefanya yake happy.

2.Mji wa afya:Hii NI sehemu inayohusika na afya,uhai,uwepo,kifo no.Hivyo ukiona mtu mgonjwa Kila siku ujue happy sehemu ya mji wa agya umeharibiwa,kwahiyo ombea afya yako,wanajua ukiwa mgonjwa huwezi kufanya kazi,biashara,kulima no.

3.Mji wa mahusiano:Hii NI sehemu ya undugu,ujamaa,urafiki,ndoa na mambo yote yanayohusiana na mahusiano iwe kazini,kwe kwe biashara,ofisini no.au unaweza kusema NI vile vitu unavyofanya vipenda au uvipendi,wakiharibu happy utakutana na chuki,ugomvi nk,,ila katika maisha si watu wore watakupenda,mtu anaweza kukuchukia bill sababu yoyote ile.Ukimpenda mtu hauangalii watu wanasemaje hata awe mbaya vipi utampenda tu.Shetani hakichafua happy utamsikia Kila mtu,shetani anaweza kumuondoa mumeo au mkeo kwenye mji huu ukawa unamuona wa kawaida tu.

4.Mji wa kumbukumbu:NI sehemu inayohusika na akili ya mtu,happy ndipo kichaa kinatengenezwa,kuvulugikiwa akili,kutokujitambua,kupoteza kumbukumbu,happy Jambo linafanyika ili mtu atimize malengo yake au yasitimie,happy ndipo kwenye kifaa Cha kukumbuka,pakiharibiwa happy,mtu anaweza kuchanganyikiwa au unaweza kusema msongo wa wa mawazo-stress.Kwa Sasa ngoja niishie hata nitaendelea na sehumu zingine.