BIBLIA NI AGANO
Maana ya
Biblia:Ni agano kati ya Mungu na wanadamu
Muundo wa Biblia
·
Ina
vitabu 66
·
Ina
sura 1186
·
Ina
mistari 31101
Mgawanyo wa Biblia
1. Agano la kale lina vitabu 39,lina
sura 929,lina mistari 23144,yaani kutoka kitabu cha Mwanzo hadi Malaki.Kiunganishi
hapa alikuwa ni Musa
2. Agano jipya lina vitabu 27,lina sura
260,lina mistari 7959,yaani kutoka kitabu cha Mthayo hadi Ufunuo na kiunganishi
hapa ni Yeshu Kristo
Lengo la Agano
i.
Ni
kupata Baraka
ii.
Ni
kuwa mwaminifu
iii.
Kutimiza
ahadi yake
Kazi ya Mungu
ni kuchagua wajibu wa mteule ni kutunza Agano
Mashariti ya Agano
i.
Mlengwa
ii.
Madhumuni/yaliyomo
iii.
Muda
iv.
Matokeo
Kwenye Agano kuna sheria
Kutoka
19:5-6,Kutoka 28:1-14(matokeo),Kutoka 20:1----,Waebrania 9:28,Mathayo
22:36-39,Yohana 1:11-14,Yohana 1:1-10
MCHORO WA UBAYA
Mchoro ni
ramani inayowekwa kwa makusudi ya jambo Fulani.Michoro hiyo mibaya mara nyingi
ni kuleta uharibifu.Wachawi wanatumia sna michoro kwa lengo la kuharibu maisha
ya mtu/watu.Kitu chochote unachokiona mwilini kimeanzia kupangwa katika ulimwengu
wa roho na likatokea ulimwengu wa mwili
Luka
6:45,mchoro huo uanzia moyoni,Mathayo 12:33,Warumi 12:21,1Samweli 17:28,Yohana
1:11,Zaburi 36:4,Ezekieli 33:19
ROHO YA UMASIKINI SI MALI YANGU
Umasikini:Ni
uhitaji wa chakula,mavazi na malazi/ni hali ya kupungukiwa .Kuna umasikini wa
mtu binafsi na umasikini wan chi.Torati 15:4-8,Mwanzo 13:2,Isaya 45:3,Mithali
19:17,Mithali 29:7,2Wakorintho 8:9,Wagalatia 2:10,Yakobo 1:27
Yesu alikuja
kupindua mifumo na taratibu za dunia,unatakiwa uanze kujisemea bila kusema ni
sawa na kutokuamini
No comments:
Post a Comment