WIMBO MPYA
Tunapozungumzia
wimbo kiroho ni neno la unabii
Aina za
nyimbo kiroho
·
Wimbo
wa Musa
·
Wimbo
wa Mwanakondoo
·
Wimbo
Mpya
1. Wimbo wa Musa ni unabii wa Agano la
kale
2. Wimbo wa Mwanakondoo ni unabii wa
Agano Jipya
3. Wimbo Mpya ni injili ya milele (Neno lililofunuliwa)
Ufunuo 15:2-4,Ufunuo 14:6-7,Zaburi 119:54,172
MJUMBE WA MUNGU ALIYETUMWA KWAKO
Mjumbe ni mtu anayewakilisha watu wengine
kwa shughuli Fulani Marko 1:1-3,Luka 3:4-6,Yeremia 49:14,Malaki 3:1-2,Waebrania
12:2 4 na Yesu mjumbe,Hagai 1:13
NIPE RUHUSA NIENDE
Ruhusa ni maombi au ombi linalofanywa na mtu
kuhusiana na jambo Fulani mfano unaomba ruhusa kwenda sehemu Fulani na katika
kuomba ruhusa kuna mambo mawili
i.
Kukubaliwa
ii.
Kukataliwa
Mwanzo 24:56
Mwanzo 30:25
Kutoka 4:18,Kutoka 7:14,Kutoka 8:1,Kutoka 14:3,Kutoka 14:13
BWANA AKUINULIE USO
WAKE
Hesabu 6:22-27
i.
BWANA
akubarikie
ii.
BWANA
akulinde
iii.
BWANA
akuangazie nuru za uso wake
iv.
BWANA
akufadhili
v.
BWANA
akupe amani
KUFUKUA VISIMA VYA
BARAKA
Mwanzo 26:25,Mwanzo 26:32,Mwanzo 21:22,Hesabu 21:17
KUFUTA AJALI ILIYOPANGWA
JUU YAKO
Isaya 62:10-------
KUONDOA NIRA ZA
KISHETANI
Nira ni kifaa ambacho huvikwa shingoni
mwa mnyama.mfano ng’ombe,punda,farasi n.k kwa kusudi la kuvuta mzigo uliyo
nyuma yake.Nira huwa na lijamu na hatamu ili kuweza kumuongoza mnyama njia ambayo
mtu wake amekusudia kupita
Lijamu ni kifaa ambacho hufungwa mdomoni
Hatamu ni kamba ambazo
zimefungwa kwenye lijamu ili kumwongoza mnyama kwa mwendo anaotaka Mathayo 11:27-30,Isaya 10:27
No comments:
Post a Comment