MAJINA YALIYOANDIKWA KWENYE KITABU
Kuna aina mbalimbali za vitabu
-vitabu vya
kiroho
-vitabu vya
kimwili
Na kila
kitabu kinalenga kutoa maarifa kwa mtu,Mathayo 1:1---kitabu cha ukoo wa Yesu
Kristo.Wafilipi 4:3,kitabu cha uzima,Ufunuo 3:5-6,Ufunuo 13:8,Ufunuo 20:12
JE,ATAKUPA RUHUSA?
Ruhusa ni
ombi linalofanywa na watu wawili au kikundi cha watu ili muende mahali Fulani.Katika
kuomba ruhusa kuna mambo mawili,ukubaliwe au ukataliwe Kutoka
5:1----nyoka,damu,vyura,chawa,mainzi,tauni,majipu,mvua yam awe na
moto,nzige,giza
KIPOFU TANGU KUZALIWA
Kipofu:Ni
mtu asiyeweza kuona/ni mtu asiyejua siri za ufalme wa mbinguni.Yohana 9:1-41
Bethaida,Marko 10:46-52 Yeriko-Bartimayo,2Petro 1:9------
MAUTI ILIYOPANDWA KWENYE ARDHI
Ardhi-nchi-inamipaka
halali ya umiliki Mwanzo 3:17-18
·
Ardhi
inasikia,ardhi ina masikio Yeremia 22:29
·
Ardhi
inakinywa,Ufunuo 12:15-17,Mwanzo 4:12
·
Ardhi
ni store,kuna ardhi zimeandikiwa habari chafu,mbaya n.k 2Nyakati 7:14-18
HATA WAKUSEME,SONGA MBELE
1Samweli
17:23,Mwanzo 37:18---,Kutoka 2:13---,Kutoka 14:15----,Zaburi 124:1-----Mathayo
27:39
NGUVU YA UFUFUO
Nguvu ni
uweza wa kutenda jambo Fulani isivyo kawaida
Ufunuo
kukomboa/kuvunja,Luka 20:36,Isaya 26:19,Yohana 11:25----,Ezekieli 37:1-10
MALIKIA WA BAHARI
Ni pepo
anayetawala dunia kwenye Nyanja zote,kwenye ndoa,uchumi.Anatawala
mashariki,kaskazini,magharibi,kusini,Na kwenye anga kuna mkuu wa pepo,huyu pepo
malkia wa bahari ni mungu mke kule Efeso walikuwa wanamwita atemi,Matendo
19:27,1Wafalme 11:33
Kazi anazozitenda
·
Anashikilia
anasa zote
·
Anashikilia
fedha za dunia
·
Ni
pepo la uharbifu
·
Anatawala
kwenye maji
·
Linazuia
maombi Danieli 10:13
·
Hasira
za kupitiliza
·
Kuwekea
vitu moyoni
Ufunuo 17:1-18
KINYWA CHAKO ATAKIJAZA KICHEKO
Kicheko:ni
namna ya kupata furaha kwa mtu,lakini kicheko hicho kinaweza kuwa kibaya au
kizuri ila hapa nazungumzia kicheko kizuri cha furaha cha habari njema,Ayubu
8:19-22,Zaburi 126:2,Mwanzo 21:5-7
KUHARIBU MIZIMU YA UKOO
Mizimu ni
mashetani wanaoendana na mila na desturi za jamii.wachawi wanajuana kutokana na
mizimu katika shughuli zako Kutoka 23:32-33,Isaya 8:19,torati 18:10-12
RATIBA ZA KISHETANI
Ni utaratibu
uliowekwa kwa ajili ya jambo Fulani.Utaratibu huo unawekwa kwa lengo na
makusudi Fulani kwa kufuata hatua baada ya hatua.Waamuzi 13:2-5,Waamuzi
13:24,Waamuzi 16:1-3,Waamuzi 16:4---
Yuda,Othnieli,Ehudi,Deborah,Gideoni,Tola,Yairi,Yefta
MOYO ULIOJERUHIWA
Moyo
kujeruhiwa unatokana na sababu mbalimbali mfano kuachwa,kupigwa,kusalitiwa n.k
Mithali 15:13-15 moyo uliyojeruhiwa mtu anakuwa na hasira sana na ugomvi
Mithali 15:18,Mithali 15;28,Mithali 15:1,Mithali 16:1
MASHAMBA YA KIROHO
Shamba ni
sehemu inayotumika kupanda mbegu
Luka 8:5-8
i.
Njia
ii.
Mwamba
iii.
Miiba
iv.
Udongo
mzuri
-Mpanzi ni
mtumishi wa Mungu
-Shamba ni
moyo
-Mbegu ni
Neno la Mungu
Luka 8:11-15,1Wakorinko
3:8-9
No comments:
Post a Comment