FUNZA WA KIROHO
Katika
maisha kuna funza wapo wa kiroho ambao wanatesa maisha yako bila kujua,iwe
kwenye uchumi,ndoa,familia,huduma,biashara,kazi n.k.anaweza kuingia na kuleta
uharibifu katika maisha yako.
·
Anaweza
akakuletea mateso na kila aina ya uharibifu,Isaya 14:11,Isaya 51:8,Marko 9:44
·
Ili
adui atomize mpango wake anaandaa njama au mpango Danieli 6:3-4,Danieli
3:4-6,Danieli 3:28---- Shadraka,Meshaki na Abednego
ROHO WA MUNGU ATULIE JUU YAKO
Roho wa
Mungu
Ø Nafsi ya Mungu
v Mungu Baba
v Mungu Mwana
v Mungu Roho Mtakatifu
1Yohana 5:7-9,Mwanzo 1:1--,Mwanzo 2:1-6,Zaburi 67:1---,Zaburi
65:9
CHACHU YA KIROHO
Chachu ni
kitu kinachoweza kubadilisha kitu.
Maana
kiroho:chachu ni mafundisho (maneno/neon) yanayoweza kubadilisha moyo na roho
ya mtu, Mathayo 13:33
Ø Chachu-mafundisho
Ø Mwanamke-mchungaji
Ø Unga-moyo (mtu)
Mathayo
16:5-12
Aina za
chachu
Ø Chachu ya Mungu yaani ya kweli
Ø Chachu ya shetani yaani uongo
Wagalatia
4:19 Kristo aumbike
1Wakorintho
5:6-8,Waefeso 4:21-24
BWANA AKUANGAZIE NURU ZA USO WAKE
Hesabu
6:22-27
Zaburi 4:6
Zaburi 31:16
Isaya 60:1-2
Isaya 58:8
KUFUTA RAMANI ZA UBAYA
Ramani ni
mchoro unaoonyesha mfano wa kitu Fulani.Kuna wachoraji,kuna vipimo vyake,mipaka
unapotaka kujenga nyumba lazima mchoro uwepo
Kila kitu
unachokiona kiwe kizuri au kibaya kimeanzia rohoni Luka 6:45-49.Ubaya wowote
unaopangwa unakuwa na ramani zake,ubaya unachorwa.Mathayo 12:33 wachawi
wanakuchorea mchoro wa magonjwa,umasikini,matatizo,mauti, n.k
Ø Kuna mafundi wa ujenzi
Ø Kuna misingi na nguzo
Ø Wachora ramani
Ø Kuna wasimamizi wa ujenzi
Hapa namaanisha rohoni na kama vile katika ulimwengu wa kimwili na kiroho
vile vile mambo haya yapo.
Hebu sasa anza kuchora/kujichorea michoro mizuri na kuifuta michoro
mibaya
Chora michoro ya Baraka na mafanikio
MUNGU AKUZIDISHE NA KUKUONGEZA
Mwanzo 28:1-4,
Mwanzo 28:12----
Mwanzo 28:20-----
Mwanzo 32:24------
Torati 28:1-14
No comments:
Post a Comment