KURA HUKOMESHA MASHINDANO
Kura ni
kuchagua mtu au kitu,Matendo 1:23-26,Mithali 18:18,Mithali 16:33
UNAONA NINI?
Katika
maisha watu wengi wamefichwa macho ya rohoni.Ninapozungumzia macho,nazungumzia
·
Ufahamu,uzima,afya,uweza
·
Fikra,kumtafuta
Yesu
·
Akili
·
Nguvu,maono
yako
·
Hatua
·
Mafanikio
Yeremia
1:11-12,Yeremia alikuwa kuhani(mmoja wa makuhani)kwenye nchi ya
Benyamini.Nenola BWANA lilimjia wakati wa kutawala kwake mfalme Yosia (Mfalme
wa Yuda) Hesabu 13:33,Hesabu 14:6-10
MUNGU AKUKUMBUKE TENA
Kukumbukwa
ni hali ya kuonekana kwa mtu/kitu(kutolewa/kukubaliwa) ulikuwa umesahaulika
sasa umeonekana Mwanzo 8:1---.Mungu alimuambia Nuhu ajenge safina,urefu mikono
300
,upana
mikono 50
,urefu
kwenda juu mikono 30
.Tarehe
17/02/600 mvua ikaanza kunyesha mpaka
tarehe 26/03/600 mvua iliacha.Maji yalitulia
siku 150 (miezi 5),
tarehe
17/07/600 safina ikatua mlima Ararati (Uturuki ya leo)
,tarehe
01/10/600 maji yalipungua pungua
,tarehe
07/10/600 alimtoa kunguru na njiwa,
tarehe
14/10/600 alimtoa njiwa,
tarehe
01/01/601 nchi ilikuwa kavu
,Mungu
akamwambia Nuhu toka kwenye safina
WAZAZI WETU WALITENDA MAOVU
Maombolezo
5:7,Yeremia 16,Mhubiri 3:1,Mhubiri 9:11
WAKATI NA BAHATI UWAPATA WOTE
Bahati ni
kukipata kitu bila kutegemea au kuepuka kitu ambacho hukutegemea.Mhubiri
9:11,Mhubiri 11:5-6
BONDE LA MATESO
Mateso ni
matatizo yaliyopo ndani au nje ya mtu Luka 3:1-6
JITAMKIE UNABII
Unabii ni kitendo cha
kutabiri,yaliyopo,yaliyopita,yaliyopo na yanayokuja
Nabii ni mteule/mteuliwa wa Mungu aliyeitwa
kupeleka ujumbe kwa watu.1Wakoritho 12:10,2Petro 1:20-21,Ufunuo 1:1-3,Ufunuo
1:19
KUFUTA PICHA ZILIZOKUWA KWENYE AKILI
YAKO
Katika
maisha kuna mambo yamesimama kama picha mbaya,inaweza ikawa
ugonjwa,umasikini,taabu,mateso,balaa n.k 1Samweli 17:1-5
·
Goliath
alikuwa na urefu futi 6
·
Chepeo
ya shaba shekel elfu 5
·
Mabampa
miguuni
·
Mkuki
kwenye begani
1Samweli
17:42---,1Samweli 18:6,Hesabu 13:17,hesabu 14:1
No comments:
Post a Comment