Thursday, May 1, 2025

NAPANDA MBEGU YA MAFANIKIO

 

NAPANDA MBEGU YA MAFANIKIO

Kitu chochote chenye uhai asili yake ni mbegu,mfano mparachichi au mwembe,n.k mbegu ninayozungumzia hapa ni mafanikio ya mtu

Mwanzo 26:12-14

Mwanzo 26:15-17

Mwanzo 26:18-19

Mwanzo 26:20-21

Mbegu inawezwa kuzuiwa au kukwama,kukwamishwa

Yoeli 1:17

Mwanzo 2:4-6

 

NGUVU YA KUITA

Kuita:ni kitendo cha kuhamuru kile unachokitaka kitokee au kije kwako

v Uhusiano wa mtu na mtu unaanzia kwenye mawasiliano

v Tunapoomba mara kwa mara tunaweka mahusiano yetu na Mungu yawe ya karibu.Na ni tofauti na mtu ambaye haombi (asiyeomba) Mwanzo 3:20,Mwanzo 16:13,Mwanzo 17:5-7,15, Mwanzo 28:12----,2Wafalme 20:1-5

v Ezekia aliamini maombi yanaweza kubadili maamuzi ya Mungu,maamuzi ya bosi wako,mumeo,mkeo,watawala,matamko ya laana,magonjwa

v Kuita kunafungua milango iliyofungwa,Yesu alimwita Lazaro.Isaya 62:6-7

v Kuita ni kutawala (kibali) Zaburi `19:14,Isaya 57:19,Mhubiri 8:4

v Kiashiria Mungu anachotumia ni kuita Zaburi 138:3,1Samweli 3:1-11,2:1-10,Isaya 42:6-7

No comments:

Post a Comment