KUSAMBARATISHA UCHAWI NA UGANGA WA
KIENYEJI
Uchawi:Ni
nguvu zinazotumiwa na watu kwa nia ya uharibifu.Kuna uchawi mweupe na kuna
uchawi mweusi
Uganga:Ni
elimu ya kichawi inayohusiana na magonjwa
Ucawi na
uganga ni kampuni moja ila sekta tofauti mfano jeshi.Uchawi na uganga lengo lao
ni kuwatesa watu Isaya 47:12,Mika 5:12,Walawi 26:31,Torati 18:9-13,Kutoka
7:22,2Wafalme 21:6,2Nyakati 33:6
MOTO WA MADHABAHU
Madhabahu:Ni
sehemu ambayo roho kwa roho hukutana au zinakutana.Ni mahakama ya kiroho ambapo
kesi za kiroho zinaletwa na kutolewa hukumu Ufunuo 8:3-5,Ufunuo 5:8,Luka 12:49
Chetezo
ni mtu
Moto ni
(neno,kuchoma) kufanya maombi
Moshi wa uvumba ni sauti ya maombi
Uvumba ni maombi
KUONDOA ROHO ZA ULEMAVU KATIKA MAISHA
YETU
Ulemavu:Ni
hali ya kutokuwa na nguvu au upungufu wa viungo au kutokuwa katika hali ya
utimilifu
Aina za
ulemavu
-kuna
ulemavu wa kiroho
-kuna
ulemavu wa kimwili
Matendo
3;1-2,Matendo 3:3-7,Matendo 3:8-10,Matendo 3:11-16
WANA NI URITHI
Zaburi
127:3,Torati 28:4,11
Wana ni
watoto,kwa wanawake wao ndiyo wanaobeba watoto.Muunganiko anaoufanya Mungu ni
wa ajabu sana,sisi binadamu tunatumika kama kiwanda cha uzalishaji (production)
NITAKUWA UKUTA WA MOTO
Ukuta ni kitu Fulani kinachojengwa ili
kuzuia vitu Fulani visipite au kuingia kwa urahisi Zekaria 2:4-5,Isaya
4:5,Waebrania 1:7
KUFUTA KURASA MBAYA ZA ZAMANI
Kurasa ni sura za kwenye kitabu zikiwa na
maana Fulani 2Wakorintho 5:17,2Wakoritho 5:18-19,2Wakorintho 5:20-21
No comments:
Post a Comment