Thursday, May 1, 2025

KUBOMOA TAWALA ZA KISHETANI

 

KUBOMOA TAWALA ZA KISHETANI

Mamlaka ni utawala,nguvu,amri,jeshi,fedha

Serikali-Ikulu,Bunge, na mahakama

1.Mkuu wa anga

Huyu ni shetani anayekaa na kutawala kwenye anga kwa ajili ya kuzuia maombi Danieli 10:11-13

2.Mkuu wa ardhi

Huyu ni shetani anayesimamia kuharibu ardhi

Ufunuo 9:11

Ufunuo 13:11

Mkuu wa bahari

Huyu ni shetani anayetawala maeneo yote yanayohusioana na maji na ndiye anayesimamia

Ufunuo 13:1

 

KILA ULIMI ULIOINUKA JUU YAKO

Ulimi ni kiungo kimoja wapo ndani ya mtu,wanyama na viumbe vingine

Isaya 54:17

Zaburi 10:7

Mithali 12:18

Mithali 15:4

Mithali 18:20-20

Yakobo 1:26

 

KUIKOMBOA NAFSI

Mtu ana sehemu tatu

       i.            Roho (spirit)

     ii.            Nafsi (soul)

  iii.            Mwili (body)

1Wathesalonike 5:23

1Wakoritho 15:44-49

Kazi ya nafsi ni kuunganisha mwili na roho

Roho:Inahusisha mambo ya Mungu

·        Maombi (ibada)

·        Ushirika na Mungu

·        Vita vya Kiroho

·        Ndoto

·        Dhamiri (kupambanua)

·        Shuhuda kwa watu

Nafsi:Kigiriki maana yake ni kiumbe kilicho hai.Kiebrania maana yake ni kile kinachopumua.Nafsi ni ile sehemu ambayo ina ufahamu wa mtu mwenyewe

Kazi yake

·        Hisia,tama,upendo

·        Utashi,nia,kuamua

·        Kufikiri,kutafakari,kuona

Mwili:unahusika na mambo ya ulimwengu

 

MSHAURI WA AJABU

Mshauri:Ni mtu anayetoa maelekezo kuhusu kutengeneza jambo Fulani/ni mapendekezo kuhusiana na jambo Fulani Warumi 11:33-36,Isaya 9:6

 

BARAKA ZA ROHONI

Baraka:Ni mafanikio juu ya mtu.Mambo yote unayoyaona ulimwengu wa mwili yanaanzia ulimwengu war oho kwasababu sisi ni roho pia ni mwili Waefeso 1:3------

VUKA

Ni kitendo cha kushinda kukwepa vikwazo/ni kitendo cha kwenda upande wa pili yaani ng’ambo

Matendo 16:9-11

Luka 8:22-------------

 

MBEGU MBAYA ILIYOPANDWA

Mbegu ni chanzo cha uhai

Aina za mbegu

-mbegu njema (Neno la Mungu)

-mbegu mbaya (Neno la shetani)

Kwanini mbegu ni chanzo cha uhai? Ufalme wa mbinguni unaanza na mbegu Mathayo 13:24-30,Mathayo 13:36------

·        Mbegu njema ni Mwana wa Adamu

·        Lile konde ni ulimwengu (shamba)

·        Mbegu njema ni wana wa ufalme

·        Magugu ni wana wa Yule mwovu

·        Aliyepanda magugu ni ibilisi (shetani)

·        Wavunao ni malaika

·        Mavuno ni mwisho wa dunia

·        Ghalani ni uzima wa milele

Ufunuo 14:14-18

No comments:

Post a Comment