KUVUNJA ROHO YA TALAKA
Talaka ni hati ya kiapo cha kuvunja ndoa
Aina za ndoa
i.
Ndoa
ya kidini yaani ya Kikristo na Kiislamu
ii.
Ndoa
ya kiserikali
iii.
Ndoa
ya kimila
Mwanzo 2:24
Ndoa na iheshimiwe Waebrania 13:4
Madhara ya talaka
·
Kuzuia
hatima za watoto wenu zisitimie kwa wakati
·
Kuleta
magonjwa
·
Familia
kusambalatika
·
Heshima
itapungua
·
Kuyumbisha
watoto
·
Kuleta
mauti
Marko
10:4-12,Malaki 2:16
Maagizo ya ndoa
1Wakorintho 7:1-6,1Wakorintho
7:8-16,1Wakoritho 7:33-34,7:39
WAKUACHE UONEKANE
Ili mtu
ufanikiwe kwenye jambo Fulani ni lazima aonekane,iwe kibiashara,kindoa,kikazi
n.k Wafilipi 3:9-10,Mithali 17:8,Mhubiri 6:4
VINYAGO VYA BABAYE
Vinyago ni
miungu inayoabudiwa au ni sanamu zinazoabudiwa kulingana na jamii husika,kuna
miungu ngazi mbalimbali mfano kwenye familia,ukoo,kwenye wilaya,mkoa,kitaifa na
kimataifa,inaabudiwa sehemu mbalimbali kama vile ofisini,nyumbani.Kutoka
20:1-6,Torati 6:14-15,Mwanzo 31:19,Mwanzo 35:2
HAKUNA ATAKAYESIMAMA MBELE YAKO
No comments:
Post a Comment