Kwa kawaida Kuna makampuni mbali mbali ya matangazo ambayo yanasaidia blog zizidi kuendelea kwa kuweka matangazo Yao.Makampuni hayo Kila mmoja anamasharti yake, kampuni hizo zingine masharti Yao NI magumu Kama ukiangalia nchi Kama Tanzania,mtu umwambie tunatakiwa Blog YAKO iwe na content za kiingereza (English Language), nakuambia hapo hizo content zitakutaka na is zoo na but also nyingi Sana na hata ujumbe anaotaka kuufikisha kwa watu itakuwa kazi ngumu mno na hata hao walengwa wenyewe English haipandi kiviile na ukipelekea Watanzania hatutaki kusoma soma vitabu na makala mbali mbali ataona anapoteza muda tu kwenye content zako za English Language, mfano kampuni ya Adsense wao wanataka Blog YAKO iwe na content za English Sasa unadhani umeandika kindengeleko, kingoni, kinyamwanga, kindali nk,watakupa matangazo?happy no BIG NO!!!
Sasa naona unashauku kubwa ya kujua yaliyomo si ndiyo, yaliyomo yanafurahisha na kazi inaendelea.Sasa Basi nitazungumzia makampuni machache tu ambayo hayachagui lugha YAKO na namna ya kuweka matangazo Yao au kukubaliwa kwa urahisi.Soma Kwanza kwa kuyasoma hayo maelekezo Kwanza sio kukimbilia mbele tu wakati umeacha maelekezo nyuma ambayo yanasaidia kufanikisha hicho unachokiitaji baadae ukafanya YAKO wakakukatalia ukasema Mimi nimekudanga.Watanzania sisi tunapenda kumtangulia mtu yaani tunataka short cut.Soma Kwanza maelekezo hapo.Pole kwa kueleza maneno mengi ndugu yangu.Haya Sasa soma maelezo haya kwa umakini usipokuwa makini hujaelewa na Mimi nitatumia short cut Kama wewe unavyopenda.
MAKAMPUNI HAYA HAYACHAGUI LUGHA
1.Revenuehits
Hii NI kampuni bora Sana kwako ya matangazo,chakufanya nenda kwenye Google andika Revenuehits.com baada ya hapo sign up au creat.Jaza details zako unazotakiwa JINSI wanavyokuambia,kuelekeza,ukifanikisha kujisajili,watakutumia ujumbe kwenye email YAKO,kumbuka iwe active.Sasa fuata maelekezo wanayokuambia then malizia yote wanayotaka wao.Kama unapewa jibu siku hiyo hiyo NI sawa ila uwe unaifungua baada ya dakika 3-5.Tufanye umemaliza usajili.Nenda kwenye Google ifungue blog yako,hapa NI vyema utumie computer na sio simu maana ukipewa hizo code utapesti kivipi?
How can you copy and paste?
Hapa zingatia uwe unaifungua TAB mbili au tatu, yaani ya Blog YAKO, Revenuehits na email YAKO.Haya Sasa upo kwenye Dashboard ya Revenuehits,nenda kwenye New placement chagua Desk top placement,select your placement mfano unataka matangazo ya banner, pop-under,slide nk.Fuata maelekezo happy unapewa code,copy hizo code na nenda kwenye blog yako,fuata sehemu iliyoandikwa LAYOUT and click add a gadget,bofya HTML/JavaScript and paste ad copy zako hapa.Baada ya hapo bofya save,mpaka happy utakuwa umemaliza
2.Adsterra
Hapa sitarudia Tena maelekezo yaliyopita Kama unaipenda hii kampuni ya matangazo niliyokueleza happy juu kwenye Revenuehits.Mtu anaweza kujiuliza nayo hii inakubali lugha yoyote?jibu NI ndiyo inakubali lugha yoyote hata kisukuma.Nenda kwenye blog yako,seh seh ya menu tafuta LAYOUT click add a gadget,select HTML/JavaScript na upesti code zako hapa.Bofya save,mchezo hapo utakuwa umemaliza
3.Bidvertiser
Nenda kwenye LAYOUT ya blog yako click widget (add a new widget),bofya HTML/JavaScript widget na paste code hizo ulizopewa,baada ya hapo bofya save.Kazi umeimaliza
4.Propeller
Hii pia inakubali lugha yoyote futa kile wanachokuelekeza na maelekezo niliyokuamboa happy yatumie Kama ujuzi.
Nipende kusema hongera Sana najua utakuwa umeelewa,lakini Kama hujaelewa unaweza kunitumia sms au ukanipigia simu hii:0765101507,+255765101507.ASANTE SANA YATENDEE KAZI HAYO
No comments:
Post a Comment