Kikawaida sisi wanadamu tuna sehemu mbalimbali kiroho,hizo zikiharibiwa happy mtu maisha yake kimwili na hata mambo ya kiroho mtu huyo anaaribikiwa.Na shetani anadili Sana na vitu hivyo,au tuseme mawakala wake wanaangalia vitu hivyo kwa mtu na kuanza kuviharibu au kuweka vitu vyake vingine.Mfano utamsikia mtu anasema tutaona Kama utaolewa,au utafanikiwa katika maisha YAKO,ujue mtu huyo anakwenda kudili na vitu nane ambavyo Kila mtu anavyo
Au mtu anaweza asikuambie moja kwa moja lakini akitaka kukuharibia anafanya vitu vyake kwa kutamka maneno mabaya juu ya mtu,hata watumishi was Mungu utamsikia anasema tutaona au anasema nakufut kazi na na mambo mengine mabaya,Leo nataka nikupe Siri yake anavyo fanya.Kitu Cha Kwanza atafunga mifungo kwa ajili YAKO na kuomba MAOMBI ya uharibifu na wewe Wala hujui chochote kinachoendelea,unanyamaza hauombi nakuambia mabaya yatakuja kwanini wanasimamia neno linalosema maneno NI roho,Tena NI uzima na wachawi wanafanya hivyo hivyo na ndiyo maana Yes anasema tuombe Kila siku.Ukifuatilia makala zangu nalisha Seema namna ya kufanya MAOMBI,hakika mpaka happy umenielewa,Sasa Basi hebu twende tuziangalie hizo sehemu.
1.Mji wa mafanikio:Sehem S hii inahusika na utajiri wa mtu,mali, mafanikio,Raha,starehe,furaha, maisha mazuri,n.k ukiona mtu afanikiwi ujue Kuna mtu amefanya yake happy.
2.Mji wa afya:Hii NI sehemu inayohusika na afya,uhai,uwepo,kifo no.Hivyo ukiona mtu mgonjwa Kila siku ujue happy sehemu ya mji wa agya umeharibiwa,kwahiyo ombea afya yako,wanajua ukiwa mgonjwa huwezi kufanya kazi,biashara,kulima no.
3.Mji wa mahusiano:Hii NI sehemu ya undugu,ujamaa,urafiki,ndoa na mambo yote yanayohusiana na mahusiano iwe kazini,kwe kwe biashara,ofisini no.au unaweza kusema NI vile vitu unavyofanya vipenda au uvipendi,wakiharibu happy utakutana na chuki,ugomvi nk,,ila katika maisha si watu wore watakupenda,mtu anaweza kukuchukia bill sababu yoyote ile.Ukimpenda mtu hauangalii watu wanasemaje hata awe mbaya vipi utampenda tu.Shetani hakichafua happy utamsikia Kila mtu,shetani anaweza kumuondoa mumeo au mkeo kwenye mji huu ukawa unamuona wa kawaida tu.
4.Mji wa kumbukumbu:NI sehemu inayohusika na akili ya mtu,happy ndipo kichaa kinatengenezwa,kuvulugikiwa akili,kutokujitambua,kupoteza kumbukumbu,happy Jambo linafanyika ili mtu atimize malengo yake au yasitimie,happy ndipo kwenye kifaa Cha kukumbuka,pakiharibiwa happy,mtu anaweza kuchanganyikiwa au unaweza kusema msongo wa wa mawazo-stress.Kwa Sasa ngoja niishie hata nitaendelea na sehumu zingine.
No comments:
Post a Comment