Thursday, February 10, 2022

SEHEMU ZA MTU KIROHO PART 2

 Mwanzo niliishia sehemu ya nne za mtu kiroho.Kumbuka mwanadamu silaha kubwa aliyokumpa Mungu NI MAOMBI na Kila mtu anaye adui wake ama unajua ama ujui.Sasa hebu tuendelee

5.Mji wa heshima:Hii NI sehemu inayohusika na mtu kuheshimiwa sio kuogopwa,maana kun kuheshimiwa na kuogopwa NI vitu viwili tofauti.Ni Bora kiongozi au mzazi watu wakuheshimu kuliko kukuogopa,maana watafanya vitu NI kwasababu ya kukuogopa, unaweza kutoa hojo Kila mtu anasema ndiyooo mkuu ujua wanakudanganya lakini akitokea wakusema hapana huyo unapaswa kumsikiliza vizuri.Sehumu Hii NI ya adabu,hekima,busara za mtu,utii,no,na sio kutii Kila kitu wakati unaona Kuna hatari.Sehemu Hii ndiyo itiayo mfanya mtu au kiongozi aongoze,Kuna mtu akikuona leo anatamani akuone Tena au akusikie Tena,kwanini NI kwasababu ya heshima uliyonayo.Kwahiyo ukimuona mtu Hana heshima ujue sehemu hii imeharibiwa,mfa mf unamkuta mtu anadharauliwa,kupuuzwa,kuvaa nguo fupi,milegezo no,watu kwa vili hawamtakii mema utawasikia umependeza Sana lakini muhusika hajui kama hiyo NI kejeli.

6.Mji wa mapombano:NI sehemu inayohusika na nguvu za KIROHO,NI uwanja wa Vita,Vita ninayozungumzia hapa siyo ya kimwili Bali NI ya rohoni yaani nguvu za KIROHO ,mashambulizi you're yanafanyaka hapa.Pepo akitumwa anakuja happy anatawala then anafanya mashambulizi--aumivu.Hapa NI kituo Cha pepo aliyetumwa,pepo linaweza kukaa Kama hakiba.Ndiyo maana tunatakiwa kuomba MAOMBI ya kupambana mtu unapaswa kuwa na nguvu za KIROHO ,JINSI unavyoomba nguvu zinaongezeka.Ukimuona mtu anashindwa kuomba hata maneno kumi ujue sehemu hiyo imeshambuliwa leo mtoe pepo aliyakaa kwenye mji wako wa mapombano kwa jina la  Yes Kristo.Kikawaida unapokoka tu unapewa nguvu hiyo ili Sasa iweze kuongezeka NI bidii YAKO sasa 

7.Mji wa ndoto:NI sehemu inayohusika na uweza,nyota.Kikawaida Kila mtu anaota ndoto hata mtoto mdogo,ukimsikia mtu anasema Mimi sioti ndoto sio kweli anaota ila anazisahau kutokana na sababu mbalimbali yamkini shetani ameiiba,ndoto asili yake NI Kama upepo,pia ulikuwa ulimwengu wa roho no ndiyo maana umesahau.Kikawaida mtu kwa siku anaota ndoto elfu 10, ndoto ndiyo kihashilia mtu atakuwa nani,vile vile happy ndipo penye uwezo wa kutafsiri ndoto mfano Yusufu mwana wa Yakobo aliota ndoto zaidi ya moja,Mungu alikuwa anamuonyesha atakuja kuwa kiongozi mkubwa,soma Mwanzo 37:1-36;sura ya 40'41 zote utaona habari yake

8.Sheria:NI sehemu inayohusika na kanuni,taratibu,hiyari ya kutenda jambo,kufuata sheria,mtu anaweza kufanya Jambo kubwa kuliko uwezo wake.Vile vili NI kanunu unazojiwekea kwamba kill siku lazima niombe kuanzia saa sita usiku au saa nane,asubuhi ukiamka,au kutofanya mambo mabaya no.

Sasa nimeeleza mambo mbalimbali kuhusiana na sehemu hizi za mtu kiroho,mtu anaenda kwa mganga wa kienyeji na huyo mganga anadeal na hayo.Kuwa making muombe Mungu siku zote bill kukata tamaa Kama jibu hujalipata Leo kesho utalipata.Mungu akubariki na kukulinda katika jina la Yesu Kristo.

Kama hujaelewa unaweza kuwasiliana nami kwa namba hizi 0765101507,Outside  TZ +255765101507(TANZANIA)

No comments:

Post a Comment