Thursday, February 10, 2022

NAFSI YA MTU

 Nafsi:NI ile sehemu ambayo in ufahamu was mtu mwenyewe au kiini Cha ubinafsi wa mtu

Nafsi unaweza kusema NI sehemu yenye ufahamu ambapo vitu vyake kujifunza au elimu au kumbukumbu vinakaa happy.

Na Roho huipa nafsi nguvu au kuwa mahiri kwenye eneo Fulani ambalo rohoni umebarikiwa ili hicho kitu kizihirke kwenye ulimwengu wa MWILI na kazi ya nafsi NI kufikiri,kutafakari,kuona hisia,utashi,Nia,kuamua,upendo no"BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi,akampulizia puani pumzi ya uhai mtu akawa nafsi hai".Mwanzo 2:7

"Ndivyo ilivyoandikwa mtu wa Kwanza,Adamu,akawa nafsi iliyo hai,Adam A wa mwisho NI roho yenye kuhuisha".1Wakorintho 15:45

"Vivyo hivyo na imani isipokuwa in matendo imekufa nafsini mwake". Yakobo 2:17

"Ambaye nafsi ya kilichoweka hai I mikononi mwake.Na pumzi zao wanadamu wore"".Ayubu 12:10

Hivyo nafsi ya mtu anaweza kufungwa ili yule mtu aliyekusudiwa na Mungu happy duniani kuyatenda you're yampasayo mtu huyo atashindwa.Kwahiyo nafsi inawezwa kuwekwa kifungoni

"Uitoe nafsi yangu kifungoni.Nipate kulishukuru jina lako.Wenye haki watanizunguka,kwa kuwa wewe unanikirimu".Zaburi 142:7

"Maana fadhili zako kwangu NI nyingi Sana,umeiopoa nafsi yangu na kuzimu". Zaburi 86:13

"Maana umeniponya nafsi yangu na mauti,je,hukuizuia miguu yangu isianguke?Ili nienende mbele za Mungu katika nuru ya walio hai". Zaburi 56:13

MAOMBI

BABA Mungu katika jina la Yesu Kristo ,leo ninasimama kinyume na kala roho zote za Giza zilizofunga nafsi yangu,nakivunja Kila kifungo kilichofunga nafsi yangu kwa jina la Yesu.Ninaiopoa nafsi yangu ilipowekwa kuzimu na mtu awaye yoyote kwa jina la Yesu.Kila falme za Giza zilizoichukua nafsi yangu ninaiamuru niachie mara moja kwa jina la Yes.Katika jina laYesu Kristo ewe nafsi yangu nisikie mahali popote ulipo,Leo nakutoa happy ulipo kwa jina la Yes.Kila anayeniharibia nafsi yangu isiniletee matunda mema,leo naamuru upigwe na kupiga kwa jina la Yes Yesu.Kila aliyeitaabisha nafsi yangu kwa mateso nakuchoma Moto mpaka majivu kwa jina la Yes.Ewe mzimu wa familia,ukoo,mji,nchi uliyeizuia nafsi yangu nafanya Vita na wewe kwa jina la Yes.Nafsi yangu ulipo wekwa chini ya mti, nakutoa kwa jina la Yes.afsi yangu ilipowekwa juu ya mti,leo nakutoa happy kwenye huo mti kwa jina la Yes.Nafsi yangu ilipowekwa madukani,kwe kwe ofisi, kwenye magodauni leo nakutoa kwa jina la Yes.Kila aliyefunga nafsi yangu nakuponda kwa nyundo ya Bwana Yes,kati ka jina la Yes.Kila shimo ,kaburini lililofunga nafsi yangu leo Sasa hivi naikomboa kwa jina la Yes.Kila pingu lililofunga nafsi yangu naliwashia Moto kwa jina la Yes.Kila wakala wa kishetani aliyeitaabisha au anayeitawala nafsi yangu leo naitoa kwenye utawala wako kwa jina la Yes.Kila gereza,Kila nyumba iliyofunga nafsi yangu leo naivunja kwa jina la Yes.Kila jeneza lililoweka nafsi yangu NDANI yake nalipasua na kulichoma Moto kwa jina la Yes.Kila anga lililokamata nafsi yangu leo niachie mara moja kwa jina la Yes.Kila sayari iliyo au inayoimiliki nafsi yangu leo natuma malaika wa mbinguni wa Yes Kristo wakaitoe nafsi yangu kwa jina la Yes.Ewe jua unayoichoma nafsi yangu leo nakuripua kwa jina la Yes Kristo.Ewe mwezi ulioishikilia nafsi yangu leo niachie mara moja kwa jina la Yes.Kila kimondo kilichofunga nafsi yangu leo Sasa hivi nakutowesha kwa jina la Yes.Ewe nafsi yangu nakutoa kwenye Kila bahari ilipowekwa iwe chini ya bahari au juu ya bahari nakukomboa kwa Moto kwa jina la Yes.Kila kisiwa kilichofunga nafsi yangu leo nakuteketeza kwa jina la Yes.Kila choo au bafu la kuogea lililoweka nafsi yangu leo niachie kwa jina la Yes.Kila shamba lililoweka nafsi yangu leo nalitekeza kwa Moto wa Roho Mtakatifu,kwa jina la Yes Kristo


No comments:

Post a Comment