Monday, February 21, 2022

MIKATABA YA MOTO

 Mikataba ya Moto hii NI unaweka Kati ya mtu na shetani ukiwa na akili zako zote,shetani anapenda Kila mtu aishi kwa mapenzi yake.Unapokuwa umelala yanatumwa mapepo na kukubeba wanakupeleka sehemu inayoitwa SEHEMU YA MOTO,hapa unabebwa mzima mzima siyo roho yako na wanahakikisha ulinzi unawekwa was kutosha kwenye nyumba yako, yaani asitokee mtu akazuia Kama NI mtu wa MAOMBI wanahakikisha wore wamelala usingizi.Ukifika huko unaamshwa na unaulizwa unataka kwenda kinyume na mapenzi ya shetani?

ANAYEPELEKWA HUKO

NI mtu aliyesikia ijili akaokoka na kuacha,NI mtu aliyesikia injili akaokoka lakini anatamani kuacha,aliyesikia injili,akaombewa na Hana mashaka kabisa na YESU I'll I'll hajawai kuokoka,anasema najipanga Kwanza.Ukiwa kule chagua moja ukitaka kumtumikia Mungu wako hutoki.Kama unataka kumtumikia shetani utarudi nyumbani mwako na mkataba,unakirishwa maneno na unapokea kipigo.Ngoja niishie hapa nitaendelea part 2

No comments:

Post a Comment