MAOMBI haya inabidi uombe kwa imani usiwe na Shaka yoyote
MAOMBI
NINAVUNJA KILA MADHABAHU ZA TALAKA KWENYE NDOA KATIKA JINA LA YESU.NINAKOMBOA KITOVU CHANGU MAHALI POPOTE KILIPO,NINAKOMBOA VITOVU VYA WATOTO WANGU KWA JINA LA YESU . NINAKOMBOA NGUO ZANGU KWA JINA LA YESU.NINAKOMBOA CHOCHOTE KINACHONIHUSU KWA JINA LA YESU.NINAKOMBOA CHOCHOTE KINACHONIHUSU WATOTO WANGU KWA JINA LA YESU,KILA PICHA ZANGU ZILIPOWEKWA KWENYE CHUNGU,CHUPA,KIBUYU NA MAHALI POPOTE,KILA PICHA ZA WATOTO WANGU NAZIKOMBOA TOKEA MAHALI POPOTE KWA JINA LA YESU,MAJINA YANGU NA YA FAMILIA YANGU YALIYOPELEKWA KWENYE MADHABAHU ZA KISHETANI NINAYAKOMBOA,KILA DAMU YANGU ILIYOCHUKULIWA NA MGANGA WA KIENYEJI NA KUIWEKA KWENYE MADHABAHU ZAKE NAIBADILISHA KWA JINA LA YESU.KILA MASHETANI YANAYOSIMAMIA PICHA ZANGU,KILA MAUTI,MMAGONJWA YALIYOTENGENEZWA KUPITIA PICHA ZANGU TEKETEA,KILA PICHA ZA FAMILIA YANGU NAZIKOMBOA,NAZIKOMBOA PICHA ZETU KWA DAMU YA YESU.KILA PICHA ZETU ZILIPOWEKWA KWENYE VYOO,NDANI YA CHOO,NDANI YA SHIMO LEO NAZIKOMBOA.NYOTA ZANGU NAZIKOMBOA,ZA WATOTO ZA MKE/MME NAZIKOMBOA KWA DAMU YA YESU KRISTO.KILA AINA YA PICHA YANGU WALIYOININ'GINIZA KWA MGANGA NAIKOMBOA,IWE PORINI NA SEHEMU YOYOTE KWA JINA LA YESU.KILA MTU ANAYENUIZIA PICHA ZANGU NAMRIPUA KWA MOTO WA ROHO MTAKATIFU.KILA PICHA ZANGU ZILIZOZIKWA KWENYE MAKABURI,MAJENEZA,BAHARINI LEO NAZIKOMBOA.KILA PICHA NA NYOTA ZANGU ZILIZOFANYIKA NA KANIKI,KITAMBAA CHEUSI AU KITAMBAA CHA AINA YOYOTE,NAACHILIA MOTO KWA JINA LA YESU.KILA MIKOBA YENYE PICHA ZANGU NINAZIKOMBOA,KILA PANGO LENYE PICHA ZANGU NAZIKOMBOA,NINAKWENDA KUJIKOMBOA PICHA NA NYOTA ZANGU KWA JINA LA YESU, NINAKOMBOA PICHA ZANGU KWENYE MITO, MAZIWA,MABONDE,KILA PICHA ZANGU ZILIPOWEKWA KUZIMU,NAZIKOMBOA,NATUMA MALAIKA TOKA MBINGUNI WAENDE WAKAKOMBOE PICHA NA NYOTA ZANGU KWA JINA LA YESU.KILA KITI CHA KISHETANI KILICHOSHIKILIA NA KUMILIKI PICHA NA NYOTA ZANGU,NAKIPASUA KWA JINA LAYESU.ENYI MASHETANI ACHIAA PICHA NA NYOTA ZANGU KWA JINA LA YESU.
Nipende kusema Maombi haya NI machache,unaweza kuendelea kuomba MAOMBI mengine zaidi ya hayo ya kukomboa picha na nyota zako na familia yako katika jina la Yesu
BWANA YESU AKUFUNGUE,KWA JINA LA YESU.AMEN!!!!!!!
No comments:
Post a Comment