Watu wengi wanajiuliza nitawezaje kuifuta blog yangu? Inawezekana kutokana na sababu mbalimbali ulizoziona wewe.Kuna vitu mbalimbali vilivyoousababishia mpaka kuitaka kuifuta blog YAKO, inawezekana ikisearch kwenye Google watu hawaioni,huioni.Nina maanisha haitokei na sababu nyinginezo.Sasa usiwe na wasi wasi jibu umelipata,na pia kumbuka unapotengeneza blog YAKO no vyema ukatafuta jina la pekee-unique,happy itakuwa rahisi kuonekana mfano:Blo B yangu hii ya Dalusofa hakuna jina Kama hili duniani kote isipokuwa NI mimi nililolibuno.Kwahiyounapaswa kutulia kidogo na kuwa mbunifu,siku zote unapotengeneza blog YAKO ijalibu baada ya wiki moja.Je ,jina la blog YAKO linatokea? Kama hakuna badilisha jina Hilo.Naona mpaka happy umenielewa,Sasa nisipoteze muda naona unashauku Sana ya kujua JINSI ya kuifuta blog YAKO.
1.Nenda kwenye Google search andika blogger.com
2.Sign in,zile taarifa zako ulizofungua blog YAKO yaani email na password
3.Ikifunguka blog YAKO ,nenda sehemu yenye vialama vitatu upa de wa kushoto,bonyeza happy,utakutana na create post,Sasa wewe itafute setting bonyeza hapo
4.Ikifunguka shuka pole pole mpaka kwenye neno remove your blog bonyeza hapo fuata maelekezo utakuwa umemaliza.Kama ujaelewa niulize kwenye email yangu-tuma ujumbe.Asante
No comments:
Post a Comment