Mikataba ya picha
Sasa hivi kutokana na kukua kwa teknolojia hasa ya mawasaliano.Kuna mitandao ya kijamii mbali mbali ipo a inaanzishwa kwa kasi,mfano Facebook,ins Instagram, WhatsApp, Twitter no., ambapo zinakupa Uhuru wa kutuma picha,maneno na hata video.Shetani naye anatumia mbinu zake kwa kushirikiana na mawakala wake ili wakupate au wampate mtu.Siku hizi unaweza kukuta mtu amegombana na mwenzake,utakutana amepost hisia zake kwenye mitandao (DON'T POST YOUR FEELING IN SOCIAL NETWORKS
Inawezekana ulipiga picha na mtu ulinua NI kwa furaha tu,kumbe mwenzako alikuwa na Nia mbaya na wewe.Au anaichukua picha yako kutokana kwenye mtandao wa kijamii.Inawezekana happy Mwanzo ulikuwa na mpenzi wako lakini zikatokea sintofahamu ukamuacha,ulipiga picha naye au ulimpa picha zako au Kuna mtu alichukua picha zako za harusi n.k
Anampelekea mganga wa kienyeji ili aifanyie vitu Fulani Fulani vibaya, mganga huyo anaweza
1.Kuizika picha hiyo kwenye kaburi
2.Kuikata kata na visu au viwembe na vitu vingine vyenye ncha Kali3.Kuichora vitu Fulani
4.Kuihifadhi kwenye chungu,kibuyu,chupa n.k
5.Wanaweza kuichoma Moto na majivu wakayaifadhi
6.Wanaweza kuining'iniza sehemu mbalimbali
Na mambo kadha wa kadha ,wakazifanyia JINSI wanayotaka wait,ili mambo mabaya yampate mtu.
"Simama Sasa na uganga wako na wingi wa uchawi wako,uliojitaabisha nao tangu ujana wako,labda unaweza KUPATA faida,labda unaweza kushinda".Isaya 47:12
Mtu anapokwenda kwa mganga akishampa picha ya mtu husika.Aliyepeleka atadaiwa apeleke jina la muhusika,apeleke kuku,mbuzi,ng'ombe n.k. Ataandaa vitu kwa ajili ya kutimiza Hilo kusudi lake baya,Ataandaa madhabahu,kafara ataipeleka kwa miungu yake
"Lakini watendeeni hivi,zivunjeni madhabahu zao zibomosheni nguzo zao,yakateni maashera Yao,ziteketezeni kwa Moto sanamu zao za kuchonga".Torati 7:5
Wanaiunganisha picha hiyo kwa miungu Yao kwa kuifanyia mikataba I'll mtu yule apate matatizo Kama vile laana,mauti,usiolewe au kuoa,kuvunja ndoa,masomo,kazi, biashara,nuksi,shida,taabu na Kila Aina ya udhaifu.Leo tunakwenda kuvunja mikataba ya picha kwa jina la Yesu Kristo
MAOMBI YA KUVUNJA MIKATABA YA PICHA
BABA MUNGU KATIKA JANA LA YESU,BWANA YESU NAKUOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE KATIKA JINA LA YESU.ASANTE YESU KWA KUNISAMEHE.NINAALIKA MALAIKA KUTOKA MBINGUNI WAUNGANE NAMI,ROHO MTAKATIFU AUNGANE NAMI KATIKA VITA HII KWA JINA LA YESU.NINAINGIA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO MUDA HUU NA MALAIKA WA MBINGUNI NA ROHO MTAKATIFU,NINASIMAMA KINYUME NA KILA MADHABAHU ZA KISHETANI ZILIZOFANYIKA KWENYE PICHA ZANGU,NINAVUNJA KILA MIKATABA YA PICHA ILIYOFANYWA JUU YANGU,NINAVUNJA KILA MIKATABA ILIYOFANYWA KWA WATOTO WANGU,NINAHARIBU KAFARA ZOTE ZILIZOTOLEWA JUU YA PICHA YANGU KWA JINA LA YESU.NINAHARIBU KILA KAFARA ZOTE ZILIZOTOLEWA KWENYE PICHA ZA WATOTO WANGU,NINAWATEKETEZA MIUNGU WOTE WA MADHABAHU ZA KISHETANI KWA JINA LA YESU,NINATEKETEZA MUNGU WA MADHABAHU ZA KISHETANI KWA JINA LA YESU.KILA PICHA ZANGU ZILIZOPELEKWA KWENYE MADHABAHU ZA KICHAWI NAZIBOMOA KWA JINA LA YESU,KILA PICHA ZA WATOTO WANGU ZILIZOPELEKWA KWENYE MADHABAHU ZA KICHAWI,NAZIBOMOA,KILA MAHALI POPOTE PICHA ZANGU ZILIPOWEKWA KWENYE MAKABURI NINAZIKOMBOA,KILA MAHALI POPOTE ZILIPOWEKWA PICHA ZA WATOTO WANGU NAZIKOMBOA,NINAKOMBOA NYWELE ZANGU KUTOKA KWENYE MADHABAHU ZA KISHETANI
No comments:
Post a Comment