MTIHANI WA MWISHO WA MWEZI
SOMO: MAARIFA
YA JAMII.
DARASA LA VII
1.
Mnyama wa kwanza kufugwa na binadamu alikuwa
………a) . ng’ombe b). mbwa c). mbuzi
2.
Inasadikika kua binadamu wa kwanza aliishi ……….a). afrika b).ulaya c). Amerika
3.
Watu wa afrika mashariki walijifunza
teknolojia ya chuma kutoka…………a).Moroko b). meroe c).Libya
4.
Idadi ya watu katika nchi hupatikana kwa
………a).kufanya sensa b). kupiga kura c).kuandikisha
5.
Dunia hujizungusha kwenye muhimili wake kwa
muda wa ……….a).saa 24 b).siku 365 c).saa
12
6.
Shughuli kubwa wanayoifanya watu wa kando
kando ya mito ,maziwa na bahari ni ……… a).kilimo b).
ufugaji c).
uvuvi
7.
Ujiuji uliopo katika volcano hai kabla ya
mlipuko kutokea huitwa…. a) .magma b).
ujiuji c).Lava
8.
Jua
ni chanzo kikubwa cha…. a) .dunia b).mwanga na joto c).maji na mwanga
9.
Volcano
inayo endelea kulipuka huitwa ….. a).volkano tuli
b).volkano hai c).volkano
mfu
10.
Mzigo wa
antaktika upo nyuzi 661/2 upande wa………… a).kaskazini
mwa ikweta . b).kusini
mwa ikweta c).magharibi mwa ikweta
11.
Ikiwa
mstari wa latitudo wenye nyuzi
0 unaitwa ikweta.je mstari wa
longitudo wenye nyuzi 0 unaitwaj? a).Greenwich b).tropiki
c).antic
12.
Ni
kisiwa gani kati ya
vifuatavyo kinapatikana ndani ya bahari
ya hindi?.............. a).havana
b).mafia c).ukerewe
13.
Wajerumani
walianza kuitawala Tanganyika mwaka ………….a).1890
b).1894 c).1895 d).1885
14.
Masalia
ya zana za binadamu
yakale yana patikana wapi? a).bagamoyo b).ismila
iringa c).kondoa Dodoma
15.
Mlima
mrefu kuliko yote
balani afrika ni ……………………a).kilimnjaro b).atlas
c).everest
16.
Eneo
linalo chibwa madini huitwaje ……………… a).machimbo b).mgodi
c). shimo
17.
Mstari
wa ikweta unanyuzi
ngapi …….. a.)360 b).00 c).1800
18.
Mklutano
wa berlin ulianza
mwaka ……………. Na kumalizika mwaka … a).1884-1895 b).1885-1896 c)1884-1885
19.
Vita vya maumau
vilifanyika wapi?.......... a).Kenya
b).Uganda c).kongo
20.
Afrika mashariki ipo bara
gani? …………….. a).afrika b).ulaya c).asia
21.
Mfumo
wa jua umeundwakwa sayari
ngapi ?....... a).8 . b).7 c).9
22.
Madini
maarufu yanayo chimbwa katika eneo la
uvinza hapa Tanzania ………….a).chuma b).chumvi
c).tanzanite
23.
Tanganyika
na Zanzibar ziliungana
mwaka ……. a).1961 b).1963 c).1964
24.
Sultani
wa kiarabu said sayyid alihamia zanzibari
mwaka …………… a).1884 b).1964 c).1840
25.
Sayari
inayo fanya mizunguko ya
aina mbili ni ………………
a).sumbula b).dunia c).utaridi
26.
Pareto
ni zao ambalo hutumika
kutengenezea nini …………………. a).chakula
cha mifugo c).dawa za mifugo
27.
Kifaa
kinacho pima unyevuunyevu kinaitwa a).haigrometa b).barometa
c).anemometa
28.
Moto
uligunduliwa katika kipindi kipi
cha zama za mawe ?............... a).kati
b).mwanzo c). mwisho
29.
Rangi nyeusi
katika bendera yetu
huwakilisha huwakilisha ………………….. a).mimea
b). watu c).madini
30.
……………
ni lugha rasmi
ya taifa inayo waunganisha wa Tanzania …………a).kisukuma d).kinyakyusa
c) .Kiswahili
31.
Zao
kuu la biashara
katka visiwa vya unguja na pemba
ni ………………… a).mpunga c).karafuu c).pamba
32.
Zaidi
ya asilimia 80 ya wa
Tanzania ni …………… a).wavivu b).wafugaji c).wakulima
33.
Shirika
la umoja wa mataifa linalo shughulikia
elimu, sayansi na teknolojia ni ….. a).UNICEF b). UNIDO
c).UNESCO
34.
Bonde
la olduvai linapatikana katika
mkoa wa …………………. Hapa Tanzania a).kagera
b).iringa c). arusha
35.
Ukabaila
katika mwambao wa
pwani uliitwa ……………. a).nyarubanja
b).omukama c).umwinyi
36.
Wanadamu
walianza kujihusisha na biashara
katika zama za …….a).mwisho za mawe
b).chuma c).mwanzo za mawe
37.
Waarabu
walifika pwani ya
afrika mnamo karne
ya …………………… a).6 b.)8
c).10
38.
Soko
kuu la watumwa afrika mashariki
lilikuwa a).Zanzibar b).bagamoyo
c).kilwa
39.
Wajerumani
walianza kuitawala Tanganyika
baada ya ………………
a).vita kuu ya kwanza
b).mkutano wa berlin c).vita
vya pili
40.
Azimio
la Aarusha lilitangazwa mwaka………………….
a).1972 b).1977 c).1990
SEHEMU
B: jaza nafasi zilizo achwa
wazi
41.
Madini
ya tanzanite hupatikana katika nchi ya ………
42.
Zao
la majini ambalo ni mahususi
kwa chakula ni……
43.
………….tukio
linalo sababisha maafa
balaa au madhara
makubwa
44.
Reli
ya TAZARA huunganisha
usafiri wa treni kati ya Tanzaia
na …………………..
45. Dk.
leakey aligundua fuvu la mtu wa kale
mwaka ……
MTIHANI WA MWISHO WA MWEZI DARASA LA
IV
SOMO:MAARIFA YA JAMII
Chagua herufi ya jibu sahihi
1.
Inasadikika
binadamu wa kwanz aliishi…… .a ) afrika b).Australia
c). ulaya d).
amerika
2.
Nchini
Tannzania sehemu zenye michoro ya mapango ni singida na ………………a).lindi b).kondoa iringa c).kigoma
d). kagera
3.
Zama za
mawe zimegawanyika katika vipindi vikuu……………..a).vitano b) .vitatu c). vine d).
kimoja
4.
Binadamu
aliwinda wanyama na kuwatumia kwa ………….a). kulima b). chakula c). kufuga d).
kuogelea
5.
Viongozi
wa familia ni……………a).kaka na dada b).dada
na mama c). baba na mama
6.
Wimbo wa
taifa unapoimbwa tunatakiwa …… …. a). kusimama na kutulia b).kukimbia c). kucheza
7.
Fedha
zetu ni ……………. A). sarafu b) .noti tu c).sarafu
na noti
8.
Jua
huchomoza upande wa a).kusini b).mashariki c).kaskazini d).magharibi
9.
Dira ni
…………..a).ramani b).skeli c).ufunguo d).pande kuu za dunia
10.
Sifa ya
kiongozi ni ………………a. mwenye kulewa pombe b).mwenye tabia nzuri c).mtu mporaji
SEHEMU B ; Jaza nafasi zilizo achwa
wazi
11.
Kuna aina
ngapi za demokrasia ………………………
12.
Taja haki
moja wapo ya mtoto …………………………
13.
Kuna
kiongozi wa kuchaguliwa na …………………
14.
Bendera
ya Rais hupepea wapi…………………………
15.
Katika
zama za mawe za kati binadamu aligundua …
SEHEMU : C Andika ndio au hapana
16.
Umbile la
binadamu wa kwanza halikufanana na lile la sokwe …………………………
17.
Katika
zama za chuma binadamu aliweza kuwinda wanyama wakubwa ……………………………..
18.
Kazi ya
kamati ya shule ni kuleta fedha shuleni ……………………………………..
19.
Ardhi,
madini,misitu, wanyama poli ,mito na maziwa ni maliasili ……………………………………
20.
Fedha ni
moja ya hela za taifa…………………………
SEHEMU D.
Oanisha maneno ya orodha A na B ili kupata sentesi
yenye maana
ORODHA
A 21.
Mimea
iliyopo juu ya ardhi katika eneo Fulani ni 22.
Makundi
matatu ya uoto 23.
Karafuu 24.
Hupimwa
kwa kutumia kipima mvua 25.
Satilaiti
moja wapo iliyopo angani ni |
ORODHA
B A.
Mwezi B.
Mvua C.
Misitu ,nyasi
na vichka D.
Unguja na pemba E.
Utoto wa asili F.
Miomboni,mikoko
na savanna |
HALMASHAURI YA
MJI TUNDUMA
SHULE YA MSINGI
UHURU
MTIHANI WA SAYANSI
Sehemu A:chagua herufi
ya jibu sahihi
1.
Kipi ni chakula
cha wanga kati ya
hivi a. Ugali
b. Mtindi
c. Mayai
2.
3.
Ukosefu wa protini
husababisha …………. Kwa watoto
a. Upele b.
Unyafuzi c. Uvimbe
4.
Seli hai za
damu zinazo shambulia viini
vya magonjwa ni …………
a.
5.
Ngozi
haiwezi kubaini kati ya hivi …………………..a).harufu b) .baridi c). joto
6.
Msaada wa
awali na wa haraka kwa mtu aliye jeruhiwa huitwa nini ?…….a).matibabu b).dawa c).huduma ya kwanza
7.
Tunatunza
mazingira ili……………..a).tuepuke na magonjwa
b). kuepuka upepo c). tupate ajira
8.
Ili mbegu
iweze kuota inahitaji hewa joto la wastani na nini?..............a).udongo b).
maji c). mwanga
9.
……………..
ni jumla ya vitu vyote vinavyo mzunguka mwanadamu ………… a). mazingira b). misitu
c). vichaka
10. ……………ni nishati inayo tokana na vyanzo
mbalimbalivikiwemo jua,upepo, maji nafuel a).umeme b).mawimbi c). sauti
11. ……………ni mchanganyiko wa gesimbalimbali a).
joto b) barid c).
gesi
12. Majanga ya asili ni yapi kati ya yafuatayo a).
kimbunga, radi, mafuriko b). upepo mkali,radi,umeme c). umeme, ajali na moto
13. Zifuatazo ni sifa za viumbe hai isipokua …………..a). kupumua
b). kutoa taka mwili c). kulala
14. Mimea imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni
……………a ) shina, majani na mizizi b)
matunda, shina na majani c).
mbegu,majani na matunda
15.
SEHEMU B. Oanisha sehemu Ana B ili
kupata maana
Sehemu A 16. Ogani za fahamu 17. Unyafuzi 18. Msitari mnyoofu 19. Sabuni ya maji 20. |
Sehemu B a.
Mwanga husufiri b.
Vifaa vya usafi c.
Kukojoa damu
mwishoni mwa mkojo d.
Ni vifaa vya
usafi e.
Ugonjwa unao
sababishwa na ukosrfu wa protini |
SEHEMU C: Andika ndio au hapana
21. Kifua kikuu na surua ni maganjwa yanayo enezwa kwa
njia ya hewa……………………
22. Hewa y oksijeni husaidia kuzima moto ……………………………………
23. Mmea una sehemu kuu nne …………………………………
24. Maji si muhimu kwa afya zetu ……………………………………
25. Usanisinuru ni kitendo cha mmea kujitengenezea chakula
chake ………………………………
MTIHANI WA MWEZI
2
SOMO: HISABATI
DARASA: IV
1. Andika
999 kwa maneno
2. Anika
tisini na tisa elfu miamoja tisini na
tisa kwa numeral
3. Andika
XLIX kwa namba za kiarabu
4. Andika
39 kwa namba za kirumi
5. Andika
kwa maneno XXXVIII
6. Andika
thamani ya 7 katika namba ifuatayo 23679
7. XX
+ IX = jibu kwa kirumi
8. Ipi
ni kubwa kati ya XXI au XIX ?
9. 18
+ 23= jibu liwe kwa namba za kirumi
10.
Andika kwa kifupi 20000 +9000 +500 +60 +7=
11.
Andika namba inayofuata
11,22,33,44,…………………………………
12.
5476 + 3465=
13.
4798 – 2455=
14.
44346 – 37016
15.
11 x 2=
16.
40 x 4 =
17.
1/9 + 3/9 =
|
|
|
|
|
|
|
18.
8/12
- 3/12 =
19.
Ni sehemu gani
iliyotiwa kivuli
20.
Mapera 14, ukigawia
watoto 7 kila mtoto atapata mangapi?
21.
70 ÷ 7 =
22.
Andika kwa namba saa
moja na nusu
23.
Andika saa 7: 20 kwa maneno
24.
Saa dakika
4 30
+ 5 28
_____________
25.
Saa dakika
6 25
-
5 15
_________________
HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA
MTIHANI WA
MWEZI FEBRUARY 2021
SOMO: HISABATI DRS- VII
1. 1 1/3
÷12 ½ =
2. 9 ¾
X 1 11/13 =
3. 21 5/8 + 34 4/5 =
4. 27 4/5 – 18 5/7
=
5. 16.9 + 27. 87 =
6. 23.21 – 19. 768 =
7. 2.76 X 3.8 =
8. 5.4 ÷ 0.018=
9. 987 + 3659 =
10. 14596 – 8789 =
11. 324 X 78 =
12. (-49) + ( +56)=
13. 2817 ÷ 36=
14. (-27) – ( -39)=
15. (-49) X ( -27)=
16. (-105) ÷ ( +7)=
17. Badili 3 17/20
kuwa asilimia
18. Geuz 1 8/25
kuwa desimali
19. Badili 2.45 kuwa sehemu
20. Geuza 0.0759 kuwa asilimia
21. Andika 11 ¼% kuwa desimali
22. Badili 7 ½ % kuwa sehemu
23. Tafuta kigawo kikubwa cha shirika
KKS ya 72,108 na 162
24. Tafuta kigawe kidogo cha shirika (
KDS) cha 27, 36 na 45
25. Andika MCMXLIV
katika namba za kawaida
26. Badili tani 31/4
kuwa kilogramu
27. Je
meta 9250 ni sawa na kilometa ngapi
28. Kunasekunde ngapi katika dakika 5
29. Orodhesha namba tasa zote zilizopo kati ya 120 na 130
30. Andika namba inayofuata katika
mfuatano huu 3,7,15,31…………
31. Tafuta wastani wa uzito wa vijana
wafuatao kg21,27,18,26,27,22,29,22.
32. Tafuta thamani ya “x” x
+ x - 8 =6
3 4
33. Ikiwa 1/3 :8 ni sawa N: 48. Tafuta thamani ya “N”
34. Ikiwa a =8,b = -6,c=
4. Tafuta thamani ya ab2 + bc
a-c
35. Rahisisha 45mnx
– 27mn
9mn
36.
n
37. Tafuta thamani ya m
100 2m
5
2m 2m
5
5
38. Tafuta kipeuo cha pili cha 729
39.
Sm12
sm16
40. Ikiwa bei ya kitenge ni Tsh. 5000/=,
mteja akipewa punguzo la asilimia 30% je atalipa kiasi gani?
41. Hamisi aliweka benki Tsh 60000/= kwa
benki inayotoa faida 22 ½ % je baada ya
muda wa miaka 2 atakuwa na kiasi gani
benki.
42. Marry alikwenda sokoni kununua mahitaji yafuatayo mchele kg
8 @600/= sukari kg 4 @900/= nyanya kg21/2 @ 800/= mafuta lita6 @720=/ miche 8 @600/= ikiwa
alitumia nauli Tsh 1500/= je jumla
alitumia kiasi gani?
43. Bei ya kg 18 za mchele ni
sh 32400 tafuta bei ya kg 29
za mchele wa aina hiyo.