SHULE YA AWALI NA MASOMO YA ZIADA YA BRIGHT
MTIHANI WA HISABATI WA MAJARIBIO
IJUMAA 12/11/2021
MUDA: SAA 1
JIBU MASWALI YOTE.
ANDIKA NAMBA ZIFUATAZO KWA TARAKIMU
1. Themanini na nne…………………………
2. Tisini na tisa……………………………….
3. Thelathini na tano………………………..
ANDIKA NAMBA ZIFUATAZO KWA MANENO
4. 27=…………………………………………………….
5. 3/4 =…………………………………………………..
6. 33=…………………………………………………..
ANDIKA NAMBA ZINAZOKOSEKANA
7. 3, 4, 5, , 7, , 9
8. 12, 14, 16, 20, , 24, , 30
9. 31 + 4 =
10. 48 - 18=
11. 87 - 49 =
12. 7 9
+ 1 2
___
13. 6 8
- 2 9
___
14. 6 4
+1 6
____
15. 9 8
- 1 9
____
16. 342 + 436 =
17. 3 5 6
+ 2 7 5
_____
18. 247 - 123 =
19. 7 2 8
-4 0 9
____
20. 2 X 8=
21. 3 X 4 =
Umbo hili linaitwaje?
No comments:
Post a Comment