MAOMBI ya KUJIKOMBOA Kila mshale was mauti,magonja nauteketeza
Kwa jina la Yesu.kila ukuta was laana juu yangu nauangusha Kwa jina la Yes.kila roho ya mauti na magonjwa pigwa Kwa jina la Yes.kila shimo la mauti na magonjwa teketea Kwa jina la Yes.kila mateso maishani mwangu toweka ka jina la Yes.kila nguvu ya kifo pigwa Kwa damu ya Yesu.nakataa Kila ugonjwa na shida kwenye maisha yangu Kwa jina la Yes.nafsi yangu pokea uponyaji Kwa damu ya Yes.kila mbegu ya mauti toweka Kwa jina la Yesu.kila wakala was mauti pigwa Kwa jina la Yes.kila funza was mauti na magonjwa nakuchoma Moto Kwa jina la Yesu
Kila matatizo kwenye maisha yangu toweka Kwa jina la Yesu
No comments:
Post a Comment