Thursday, May 1, 2025

MASHAMBA YA KIROHO

 

MASHAMBA YA KIROHO

Shamba ni sehemu inayotumika kupandia mbegu.Kiroho shamba ni moyo na mbegu ni Neno la Mungu Mathayo 13:3-,Luka 8:1----

 

UTUPE LEO RIZIKI YETU

Riziki maana yake ni Baraka,mafanikio,mali,afya,fedha n.k

Mathayo 6:9-11,Mathayo 7:7-11,hagai 2:8,

3Yohana 1:2,Isaya 45:1-6

NEEMA YA KUOMBA ALFAJIRI NA ASUBUHI

Zaburi 5:1-3

Ni maombi ya mamlaka ya kuharibu mipango ya kishetani iliyofanyika juu yako.

Ni maombi yenye uweza wa kupata Baraka na kibali

 

ALIYEFUNGWA

·        Kifungo ni hali ya kuwa utumwani

·        Ni hali ya kuwa kwenye mateso

·        Ni hali ya kuwa kwenye shida

·        Ni hali ya kutokuwa huru

·        Ni kupindishwa/kuzuiwa

Marko 11:1-11

Luka 19:29-40

Mathayo 21:1-11

Luka 14:1-6

Hesabu 22:22---------

Baraki anabariki na kulaani

 

MWEZI WA KUKUTANA NA MUNGU

Namba sita kibiblia ni namba ya mwanadamu

Mwanzo 1:26-31

Ezekieli 8:1-4

Hagai 1:14-15

Luka 1:26

TANZI ZA MAUTI

Mithali 13:14

Mithali 14:27

2Wafalme 4:40,Ayubu 5:20,Zaburi 49:14,Zaburi 68:20,Mathayo 4:16,2Wakorintho 2:15-16

 

KISIWA CHA MATESO

Kisiwa ni eneo la nchi kavu katikati ya bahari,ziwa au mto linalozungukwa na maji. Ufunuo 1:9,Ufunuo 16:20,matendo 28:7,Matendo 28:9

Yohana-alitumbukizwa kwenye pipa la mafuta yaliyokuwa yanachemka,aliwekwa kwenye gereza la migodi kisiwa cha Patimo (Uturuki)

 

AGANO LA KITOVU

Agano ni mkataba au makubaliano kati ya watu wawili au zaidi,kati ya pande mbili.Kuna agano la Kimungu na agano la kishetani.Shida unayopitia ni kutakana na agano lililofanyika juu yako kupitia kitovu ulipozaliwa kuna jambo lilifanyika. Zaburi 71:6-sala /maombi ya Daudi.Ezekieli 16:1-5,1Wafalme 18:17-19

 

MGONGANO WA FALME MBILI

Mathayo 4:23----

Isaya 5:14-15

UMWINUA MNYONGE

1Samweli 2:8,Torati 17:17,1Wafalme 11:1-----

 

ATAAGIZA MALAIKA WAKULINDE

Zaburi 91:10------

Zaburi 35:1-7

 

ULIANZA MWENYE HUZUNI

1Nyakati 4:9-10

Danieli 6:3-4

Danieli 3:28

 

WAKUACHE UONEKANE

Wafilipi 3:9-10

1Samweli 16:1-17

 

 

KUZIKOMBOA SEHEMU ZA MTU

 

KUZIKOMBOA SEHEMU ZA MTU

-Roho

-Nafsi

Mwili

Kikawaida ili mtu aweze kuharibikiwa au asifanikiwe,shetani huwa anashughulika na sehemu hizo,ili kuleta uharibifu

1.     Mji wa Mafanikio

Hapa tunazungumzia mali,fedha,uchumi mzuri,utajiri,maisha mazuri n.k

Torati 28:1-13

Hapa ni sawa na kusema password za maisha

2.     Mji wa Afya

Hapa tunazungumzia afya njema,uhai,kuishi

3Yohana 1:2,Mithali 3:7-8,Isaya 58:8,Yeremia 30:17,33:6.

Shetani akipachezea ndiyo mtu anakuwa mgonjwa,mauti,kifo,maumivu n.k

3.     Mji wa Mahusiano

Hapa tunazungumzia Mungu,urafiki,undugu,upendo.Shetani akipachezea hapa,chuki itatengenezwa hapa,unaweza kumuona mke/mumeo kawaida tu.1Samweli 18:1-5,Waamuzi 19:3,Yohana 15:13

4.     Mji wa Kumbukumbu

Hapa hunazungumzia akili,ufahamu,maarifa,kuelewa,kuyashika unayofundishwa.Hapa pakichezewa utaona mtu amejiua,amechanganyikiwa,kusahausahau n.k

5.     Mji wa Sheria

Hapa tunazungumzia kanuni,taratibu,hiyali ya mtu,amri,hekima,adabu,heshima,maadiki.Mithali 3:1

Hapa wizi ndio unapoanza kwa mtu kama pakiharibiwa

6.     Mji wa Ndoto

Hapa tunazungumzia uwezo wa kutafsiri ndoto,kuota,macho ya rohoni-kufunguka jicho la tatu.Danieli 5:12

7.     Mji wa Vita

Hapa tunazungumzia ulinzi,vita vya rohoni,maombi,mashambulizi,nguvu za kiroho

Hapa ndiyo kituo cha pepoau jinni Torati 20:19-20,Hesabu 21:14,waefeso 6:10-12

KUBOMOA TAWALA ZA KISHETANI

 

KUBOMOA TAWALA ZA KISHETANI

Mamlaka ni utawala,nguvu,amri,jeshi,fedha

Serikali-Ikulu,Bunge, na mahakama

1.Mkuu wa anga

Huyu ni shetani anayekaa na kutawala kwenye anga kwa ajili ya kuzuia maombi Danieli 10:11-13

2.Mkuu wa ardhi

Huyu ni shetani anayesimamia kuharibu ardhi

Ufunuo 9:11

Ufunuo 13:11

Mkuu wa bahari

Huyu ni shetani anayetawala maeneo yote yanayohusioana na maji na ndiye anayesimamia

Ufunuo 13:1

 

KILA ULIMI ULIOINUKA JUU YAKO

Ulimi ni kiungo kimoja wapo ndani ya mtu,wanyama na viumbe vingine

Isaya 54:17

Zaburi 10:7

Mithali 12:18

Mithali 15:4

Mithali 18:20-20

Yakobo 1:26

 

KUIKOMBOA NAFSI

Mtu ana sehemu tatu

       i.            Roho (spirit)

     ii.            Nafsi (soul)

  iii.            Mwili (body)

1Wathesalonike 5:23

1Wakoritho 15:44-49

Kazi ya nafsi ni kuunganisha mwili na roho

Roho:Inahusisha mambo ya Mungu

·        Maombi (ibada)

·        Ushirika na Mungu

·        Vita vya Kiroho

·        Ndoto

·        Dhamiri (kupambanua)

·        Shuhuda kwa watu

Nafsi:Kigiriki maana yake ni kiumbe kilicho hai.Kiebrania maana yake ni kile kinachopumua.Nafsi ni ile sehemu ambayo ina ufahamu wa mtu mwenyewe

Kazi yake

·        Hisia,tama,upendo

·        Utashi,nia,kuamua

·        Kufikiri,kutafakari,kuona

Mwili:unahusika na mambo ya ulimwengu

 

MSHAURI WA AJABU

Mshauri:Ni mtu anayetoa maelekezo kuhusu kutengeneza jambo Fulani/ni mapendekezo kuhusiana na jambo Fulani Warumi 11:33-36,Isaya 9:6

 

BARAKA ZA ROHONI

Baraka:Ni mafanikio juu ya mtu.Mambo yote unayoyaona ulimwengu wa mwili yanaanzia ulimwengu war oho kwasababu sisi ni roho pia ni mwili Waefeso 1:3------

VUKA

Ni kitendo cha kushinda kukwepa vikwazo/ni kitendo cha kwenda upande wa pili yaani ng’ambo

Matendo 16:9-11

Luka 8:22-------------

 

MBEGU MBAYA ILIYOPANDWA

Mbegu ni chanzo cha uhai

Aina za mbegu

-mbegu njema (Neno la Mungu)

-mbegu mbaya (Neno la shetani)

Kwanini mbegu ni chanzo cha uhai? Ufalme wa mbinguni unaanza na mbegu Mathayo 13:24-30,Mathayo 13:36------

·        Mbegu njema ni Mwana wa Adamu

·        Lile konde ni ulimwengu (shamba)

·        Mbegu njema ni wana wa ufalme

·        Magugu ni wana wa Yule mwovu

·        Aliyepanda magugu ni ibilisi (shetani)

·        Wavunao ni malaika

·        Mavuno ni mwisho wa dunia

·        Ghalani ni uzima wa milele

Ufunuo 14:14-18

KIFUNGO CHA UCHUMI

 KIFUNGO CHA UCHUMI

Kifungo cha uchumi kinatokana na madhabahu za ukoo au miungu ya ukoo

Kutoka 20:1-3

Kutoka 20:4-6

Mwanzo 12:2-3

Mwanzo 32:24

Hagai 2:6-8

Mithali 8:18-21

3Yohana 1:2

NAPANDA MBEGU YA MAFANIKIO

 

NAPANDA MBEGU YA MAFANIKIO

Kitu chochote chenye uhai asili yake ni mbegu,mfano mparachichi au mwembe,n.k mbegu ninayozungumzia hapa ni mafanikio ya mtu

Mwanzo 26:12-14

Mwanzo 26:15-17

Mwanzo 26:18-19

Mwanzo 26:20-21

Mbegu inawezwa kuzuiwa au kukwama,kukwamishwa

Yoeli 1:17

Mwanzo 2:4-6

 

NGUVU YA KUITA

Kuita:ni kitendo cha kuhamuru kile unachokitaka kitokee au kije kwako

v Uhusiano wa mtu na mtu unaanzia kwenye mawasiliano

v Tunapoomba mara kwa mara tunaweka mahusiano yetu na Mungu yawe ya karibu.Na ni tofauti na mtu ambaye haombi (asiyeomba) Mwanzo 3:20,Mwanzo 16:13,Mwanzo 17:5-7,15, Mwanzo 28:12----,2Wafalme 20:1-5

v Ezekia aliamini maombi yanaweza kubadili maamuzi ya Mungu,maamuzi ya bosi wako,mumeo,mkeo,watawala,matamko ya laana,magonjwa

v Kuita kunafungua milango iliyofungwa,Yesu alimwita Lazaro.Isaya 62:6-7

v Kuita ni kutawala (kibali) Zaburi `19:14,Isaya 57:19,Mhubiri 8:4

v Kiashiria Mungu anachotumia ni kuita Zaburi 138:3,1Samweli 3:1-11,2:1-10,Isaya 42:6-7

MAJINA YALIYOANDIKWA KWENYE KITABU

 

MAJINA YALIYOANDIKWA KWENYE KITABU

Kuna  aina mbalimbali za vitabu

-vitabu vya kiroho

-vitabu vya kimwili

Na kila kitabu kinalenga kutoa maarifa kwa mtu,Mathayo 1:1---kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo.Wafilipi 4:3,kitabu cha uzima,Ufunuo 3:5-6,Ufunuo 13:8,Ufunuo 20:12

JE,ATAKUPA RUHUSA?

Ruhusa ni ombi linalofanywa na watu wawili au kikundi cha watu ili muende mahali Fulani.Katika kuomba ruhusa kuna mambo mawili,ukubaliwe au ukataliwe Kutoka 5:1----nyoka,damu,vyura,chawa,mainzi,tauni,majipu,mvua yam awe na moto,nzige,giza

 

KIPOFU TANGU KUZALIWA

Kipofu:Ni mtu asiyeweza kuona/ni mtu asiyejua siri za ufalme wa mbinguni.Yohana 9:1-41 Bethaida,Marko 10:46-52 Yeriko-Bartimayo,2Petro 1:9------

 

MAUTI ILIYOPANDWA KWENYE ARDHI

Ardhi-nchi-inamipaka halali ya umiliki Mwanzo 3:17-18

·        Ardhi inasikia,ardhi ina masikio Yeremia 22:29

·        Ardhi inakinywa,Ufunuo 12:15-17,Mwanzo 4:12

·        Ardhi ni store,kuna ardhi zimeandikiwa habari chafu,mbaya n.k 2Nyakati 7:14-18

 

HATA WAKUSEME,SONGA MBELE

1Samweli 17:23,Mwanzo 37:18---,Kutoka 2:13---,Kutoka 14:15----,Zaburi 124:1-----Mathayo 27:39

 

NGUVU YA UFUFUO

Nguvu ni uweza wa kutenda jambo Fulani isivyo kawaida

Ufunuo kukomboa/kuvunja,Luka 20:36,Isaya 26:19,Yohana 11:25----,Ezekieli 37:1-10

 

MALIKIA WA BAHARI

Ni pepo anayetawala dunia kwenye Nyanja zote,kwenye ndoa,uchumi.Anatawala mashariki,kaskazini,magharibi,kusini,Na kwenye anga kuna mkuu wa pepo,huyu pepo malkia wa bahari ni mungu mke kule Efeso walikuwa wanamwita atemi,Matendo 19:27,1Wafalme 11:33

Kazi anazozitenda

·        Anashikilia anasa zote

·        Anashikilia fedha za dunia

·        Ni pepo la uharbifu

·        Anatawala kwenye maji

·        Linazuia maombi Danieli 10:13

·        Hasira za kupitiliza

·        Kuwekea vitu moyoni

Ufunuo 17:1-18

 

KINYWA CHAKO ATAKIJAZA KICHEKO

Kicheko:ni namna ya kupata furaha kwa mtu,lakini kicheko hicho kinaweza kuwa kibaya au kizuri ila hapa nazungumzia kicheko kizuri cha furaha cha habari njema,Ayubu 8:19-22,Zaburi 126:2,Mwanzo 21:5-7

 

KUHARIBU MIZIMU YA UKOO

Mizimu ni mashetani wanaoendana na mila na desturi za jamii.wachawi wanajuana kutokana na mizimu katika shughuli zako Kutoka 23:32-33,Isaya 8:19,torati 18:10-12

 

RATIBA ZA KISHETANI

Ni utaratibu uliowekwa kwa ajili ya jambo Fulani.Utaratibu huo unawekwa kwa lengo na makusudi Fulani kwa kufuata hatua baada ya hatua.Waamuzi 13:2-5,Waamuzi 13:24,Waamuzi 16:1-3,Waamuzi 16:4---

Yuda,Othnieli,Ehudi,Deborah,Gideoni,Tola,Yairi,Yefta

 

MOYO ULIOJERUHIWA

Moyo kujeruhiwa unatokana na sababu mbalimbali mfano kuachwa,kupigwa,kusalitiwa n.k Mithali 15:13-15 moyo uliyojeruhiwa mtu anakuwa na hasira sana na ugomvi Mithali 15:18,Mithali 15;28,Mithali 15:1,Mithali 16:1

 

MASHAMBA YA KIROHO

Shamba ni sehemu inayotumika kupanda mbegu

Luka 8:5-8

        i.            Njia

      ii.            Mwamba

    iii.            Miiba

   iv.            Udongo mzuri

-Mpanzi ni mtumishi wa Mungu

-Shamba ni moyo

-Mbegu ni Neno la Mungu

Luka 8:11-15,1Wakorinko 3:8-9

Wednesday, April 30, 2025

ARDHI ILIYOLAANIWA

 

Haya ni mafundisho kwa wale Watumishi wa Mungu ambao wanahitaji kuhubiri,masomo haya yanaweza kuwapa mwangaza katika kufikisha ujumbe,nimeandika kwa kifupi ila Roho Mtakatifu atakufunulia mengi na kukupa mafunuo zaidi

ARDHI ILIYOLAANIWA

Mwanzo 3;17-19

Mwanzo 4:10-15

Ayubu 28:2-6

Isaya 34:19

 

 

SHERIA ISIYOBADILIKA

Sheria:Ni kanuni au amri zinazowekwa ili kulinda au kusimamia kitu Fulani

-          Kuna sheria za kiroho

-          Kuna sheria za kimwili

Sheria ya Mungu

Mwanzo 26:5

Kutoka 16:4

Walawi 19:37

Zaburi 1:2-3

Kama hakuna sheria hutaona kosa

Warumi 5:13

Esta 4:16

Esta 1:16-19

Daniel 6:7-9

KUHARIBU KINYWA CHA LAANA

Laana ni mkusanyiko wa mambo mabaya yanayompata mtu

Zaburi 10:7-9

Hesabu 22:4-6,

Hesabu 22:12

,Hesabu 22:22,

Hesabu 23:1--------

IMETOSHA SASA

Imetosha ni kitendo cha kuamua kuchukua hatua au ni kitendo cha kuchoka kutokana na hali Fulani,mfano;shetani anakutesa na matatizo Fulani kama vile laana,umasikini,kuonewa n.k

Torati 1:6-7

Torati 1:8-9

Torati 2:1-3

Torati 32:30

Hesabu 33:1-3

Hesabu 33:5

Hesabu 33:37

Yoshua 23:10

 

KUVUKA MIPAKA YA KIMATAIFA

Yoshua 1:3-4

1Nyakati 4:9-10

 

KUFUTA PICHA MBAYA AKILINI MWAKO

Picha ni mtazamo ambao mtu anao kuhusiana na jambo Fulani mfano ugonjwa

1Samweli 17:1-58

Hesabu 13:17----------

 

CHANZO NI NINI?

Chanzo ni mwanzo wa kitu au kianzilishi au ni kisababishi au ni sababu.mfano umasikini chanzo chake ni nini?

Mithali 1:7-9

Mithali 8:26

2Wafalme 2:19-22

HUMWINUA MNYONGE TOKA MAVUMBINI

Mnyonge ni masikini,mtu asiyejiweza,hana mtetezi,mtu wa chini hana maana

1Samweli 2:8

1Samweli 1:1

-Rama (msufi)

-nchi ya vilima vilima

-Penina  & Hana

-Raheli

Danieli 6:1----------------

 

KUTAPIKA ULICHOLISHWA

Kulishwa ni hali ya kula kitu kwa njia mbalimbali na kinapelekwa mpaka tumboni

Mfano:

1.     Kupitia mdomoni

2.     Kupitia masikioni (kile unachokisikia kizuri au kibaya)

3.     Kupitia macho

4.     Kupitia puani

5.     Kupitia kwenye ngozi n.k

Ufunuo 10:9-10

Danieli 1:1-22

Mwanzo 2:17

 

KUZIHARIBU PEMBE ZA GIZA

Pembe ni mamlaka au ni kifaa ambacho kipo kwa wanyama Fulani

        i.            Kifaa hicho kinatumika sana na wachawi kama dira,inayowaelekeza kwa ajili ya kufanya uharibifu kwa watu

      ii.            Jamii nyingi za Kiafrika wanazo na wanatumia

    iii.            Vipembe hivi vinawekwa kama zindika

Danieli 7:7-11

-          Samba (anambawa)

-          Dubu

-          Chui vichwa 4

-          Mnyama mwenye kutisha

-          Bahari ni ulimwengu

-          Zekaria 1:18

 

Funguo yako Yesu


 

NEEMA YA KRISTO


 

Nguvu ya Yesu