Monday, January 31, 2022

ENGLISH TEST STD VII

 

TUNDUMA TOWN COUNCIL

UHURU  PRMARY  SCHOOL

ENGLISH  MOUNTHLY  TEST - STD VII  2021


1.     He doesn’t ……………… some  juice  a).drinks    b).drunks    c). drink   d).drinking

2.     Did  Asha  ………………… to school yesterday  a).went    b) gone  c).goes   d).going

3.     Anna  and Amina  have  ………………..the examination  well   a).done  b).do  c).doing  d). did

4.     Did  his  father……………………….the exercise book    for  him   a).buy   b).buying   c).buys  d).sold

5.     How ……………. Money  do you  need  to buy a bus  a).much  b). many   c).amount  d).some

6.     The  women  ………………….. their  babies now  a).is  feeding   b).feed  c).are  feeding  d).feeds

7.     My  mom always  ……………….. some  milks  a).likes  b).liked  c)use to like d).eats

8.     She  had  already …………………. To go  to university of  mzumbe  to  study  law   a).decide  b).decided   c).decides  d).deciding

9.     We  were  studying, while hemi …………….. the  school  compound   a).is  sweeping  b).was  sweeping  c)sweep  d).sweeps

10. Not  only  Aisha ……………… Amina  has  failed  the exams.   a).both  b). so  c).but  also  d).and

11. The  children are  playing ……………. The  road   a).under  b) beside  c).along   d).behind

12. ………………… it was  raining  heavily , he went to school  a). although   b).unless  c).if  d) either

13. She  looked …………….in  the  mirror a).himself  b).herself   c).theirself   d)themselves

14. ………………. Kigoma …………… mbeya  are in Tanzania.  a).either …..or  b).all…of   c).neither ………… nor   d). both …………. And

15. …………….it  does not rain the  plant will  die  a) unless  b).when  c).although  d).if

16. Diamond platinum is a famous  musician……………..? a).isn’t it   b).is he  c).isn’t   he  d).is not

17. Idugu  bought  a ……… bicycle a).newly  b).more  new  c)knew  d) new

18. Juma  is  suffering ……………….malaria since last  week      a).to   b). off   c).from  d)since

19. Mayasa  is  very  good ……………..mathematics   a).at    b).in  c).with   d). to

20. Asha  is  the …………….. beautiful  girl in  the  class   a).most   b).the  most  c). the  more  d).less

21. We  are  going to ……………… a  national  song   a)sang  b).singing  c).sing  d). sings

22. The  plural of  the  word  “mouse” is ………………..  a).mouses   b).mousses  c).mice   d).mices

23. Our  leader told  us to make  sure  that  we  go home as  soon ………………possible   a).same   b).us  c). like  d).as

24. The  superative of the word  “active” is …………………

25. He  injured   himself …………….. a knife   a)with  b).by    c).on   d).and

26. They ……………….a new house  next  year    a).built  b).is  built   c).will build  d).are  built

27. He  looks ………………… younger since  he  come back from sudan   a).many   b).very    c).since   d).much

28. The  bicycle that Adam  ride is not ………………… a). their  b).himself  c).his self  d).his

29. Pupils had………….. to London   a).flew    b).flied  c).fly  d).flown

30. Those  days  most  parents hard  to  give their  children a good  life  a).works  b).foods  c).  work  d)working

VOCABULARY

For  each of the  following question , chose  the  correct answer and  write its letter .

31. He does  not eat  meat or  fish. He is a ………………..a).veteran    b).vegetarian   c)veterinary     d).vegetation 

32. Halima  like to  flies from one  country  to  another  country  for touring. So she  is ……………………

33. A  person  who knows  things without  being  taught by  teacher or  other  person is  called ………………………  a). clever   d).genius    c).jelous    d).general 

34. Orchid   rose, daisy and  hibiscus  can be  classified under ………………  a).beverages   b).food    c). florist  d).flowers

35. Amina’s    husband  has  been  dead  by  the  accident  that  took  place  at  kitonga  hills. So  Amina  is ………. a).widow  b).passanger    c)widower  d).a  dead  woman

36. A  person  who  works  at  hospital is  called   …………………. a).doctor  b).teacher  c).accountant   d).proacher  

 

 

Arrange   the following  sentences  in a correct order  use   A,  B,   C,  D.

37. She flies  all  over   Tanzania, and  sometimes  she  flies  out  side  Tanzania        too.

38. Dorothy  is a pilot who  works  for  air  Tanzania

39. Her  home  is  in dar  es  salaam  but  she  loves travelling  around  the  word

40. Sometimes  she  flies  large  planes  and sometimes  she  flies  small  planes

  

SECTION D: COMPREHENSION :  READ  AND ANSWER  THE QUESTIONS.

 

Parent  are  very  important people to our lives everybody must respect  his/her   parents. We would  not be  here if there were  no  parent  even  if our parent  have  passed away. We still have  to  remember  them  due  to  contribution  they  have  made  in our lives. You  want  be able  to  pay them  despite   that  you  are a  millionaire 

 

Questions .

41. Who  are  important  to  us?  a).teacher     b).parents   c).elders   d).pupils

42. Are  we  able  to pay  them  for  what they  have done  for us?   a).yes  b).no  c).ok    d).may  be

43. What  is  the title for this  passage ?  a).we   b).us   c).parents  d).relatives

44. Who  are millionaire

45. What  should ever body  do  to  parent


   

PATA MAHARIFA ZAIDI

 

THE PRESIDENT OFFICE REGIONAL ADMISTRATION AND LACAL GOVERNMENT

MWANGAZA TUTION CENTRE

PHYSICS WEEKLY TEST FORM ONE

INSTRUCTIONS  :

ANSWER ALL QUESTIONS

TIME 1:30 HOURS

SECTION A  MULTIPLE CHOICES

1.      Choose the correct letter of correct answer and write it to the box beside

i.                    The people who study physics are called………………….. a).pysicianists  b).physicists   c).physians   d)astronomy.

ii.                  Ascientific study of universe is called……………………… a).astronomy   b).astronologist    c).physics    d).telerography

iii.                One of the following is not feature of physics laboratory…………a).water supply system    b).drainage system   c). slippery floor  d).well illuminated

iv.                 The following are the causes of laboratory accident except   a).slippery floor   b).gas leakages   c).fire  d).correct use and handling of apparatus

v.                   Application of science refer to as…………  a).technology  b).scientifically   c).biological science  d).astronomy

 

2.      SECTION B

i.                    What is physics?....................................................................................

 

ii.                  List down five  ( 5) importance of studying physics

 

A ………………………………………………………………………………………………………

b. ……………………………………………………………………………………………………….

c. ……………………………………………………………………………………………………….

d. ………………………………………………………………………………………………………

e. ………………………………………………………………………………………………..

3.      List down five ( 5) causes of laboratory accidents

a.      ………………………………………………………………………………………………………………..

b.      ……………………………………………………………………………………………………………………..

c.       ……………………………………………………………………………………………………………………………

d.      ………………………………………………………………………………………………………………………………

e.      ………………………………………………………………………………………………………………………………..

4.      A)   Define the following terms

i.                    Physics………………………………………………………………………………………………

ii.                  Science……………………………………………………………………………………………

iii.                First aid…………………………………………………………………………………………

iv.                 First aid kit…………………………………………………………………………………………

     B).  List down five ( 5) importance of first aid

5.           A. what is laboratory?

     B. List down five ( 5 )laboratory rules.

 

 

      

THE PRESIDENT OFFICE REGIONAL ADMISTRATION AND LACAL GOVERNMENT

MWANGAZA TUTION CENTRE

ENGLISH WEEKLY TEST FORM ONE

INSTRUCTIONS  :

ANSWER ALL QUESTIONS

TIME 1:30 HOURS

SECTION A.TENSES AND GRAMMER

1.      Choose the correct answer between choices

i.                    Anania has ……………..a letter to her mother  a). wrote   b).written      c). writes   d). writing

ii.                  Juma is the………………..boy in the class   a). tall   b). tallest   c). taller   d).most tallest

iii.                They will not came on time …………….they use a bus   a). if   b). although  c). unless  d). and

iv.                 ……………….we cooperate together we will achieve our success  a).unless   b).and  c). inspite of  d).if

v.                   Pascal is…………………basic mathematic now in the class   a).teaches   b).teaching  c)teach  d). taught

2.      Fill the blanks with the suitable preposition identified below to each sentences

 

                      At,   on,   in,    of,    along,     opposite

 

i.                    The student comes early …………the morning

ii.                  He will come……………Thursday

iii.                A Post office is…………..to police station

iv.                 The pupils are walking……………the road

v.                   They came yesterday ………….2:00pm

vi.                 Sadamu produced six paper to mwandu stationary out …………..twenty

 

SECTION B

3.      a).  what is a dictionary…………………………………………………………………………………………………….

………………………………………………………………………………………………………………………………………

b).  mention five ( 5) importance of a dictionary

4.      a). what is synonyms?..........................................................................................................

…………………………………………………………………………………………………………………………………………

b). what are the synonyms word of the following

i.           angry………………………………………………………………………………………

ii.          clever……………………………………………………………………………………….

iii.                Silence………………………………………………………………………………………..

iv.                 Features…………………………………………………………………………………………

5.      a). what is antonyms?.....................................................................................................

…………………………………………………………………………………………………………………………………………

b). what are the antonyms word of the following

i.            hate…………………………………………………………………………………………………..

ii.           ugly………………………. …………………………………………………………………………

iii.           slow………………………………………………………………………………………………

  iv.       strong……………………………………………………………………………………………….

v.                   friendly……………………………………………………………………………………………

 

MTIHANI WA MWISHO WA MWEZI

SOMO:  MAARIFA YA JAMII. 
DARASA LA VII


1.       Mnyama wa kwanza kufugwa na binadamu alikuwa ………a) . ng’ombe b). mbwa c). mbuzi

2.       Inasadikika kua binadamu wa   kwanza aliishi  ……….a). afrika b).ulaya   c). Amerika

3.       Watu wa afrika mashariki walijifunza teknolojia ya chuma kutoka…………a).Moroko  b). meroe  c).Libya

4.       Idadi ya watu katika nchi hupatikana kwa ………a).kufanya sensa  b). kupiga kura c).kuandikisha

5.       Dunia hujizungusha kwenye muhimili wake kwa muda wa ……….a).saa 24  b).siku 365   c).saa 12

6.       Shughuli kubwa wanayoifanya watu wa kando kando ya mito ,maziwa na bahari ni ……… a).kilimo   b). ufugaji      c). uvuvi 

7.       Ujiuji uliopo katika volcano hai kabla ya mlipuko kutokea huitwa….  a) .magma     b). ujiuji   c).Lava

8.       Jua  ni chanzo  kikubwa  cha…. a) .dunia b).mwanga na joto   c).maji  na mwanga

9.       Volcano  inayo  endelea  kulipuka huitwa ….. a).volkano  tuli  b).volkano  hai  c).volkano  mfu

10.    Mzigo wa  antaktika  upo  nyuzi 661/2 upande wa…………  a).kaskazini  mwa  ikweta .  b).kusini  mwa   ikweta  c).magharibi mwa ikweta

11.    Ikiwa  mstari  wa latitudo wenye  nyuzi  0 unaitwa  ikweta.je mstari  wa  longitudo  wenye nyuzi  0 unaitwaj? a).Greenwich  b).tropiki  c).antic

12.    Ni  kisiwa gani  kati  ya  vifuatavyo kinapatikana  ndani  ya bahari  ya  hindi?..............  a).havana  b).mafia  c).ukerewe

13.    Wajerumani  walianza  kuitawala  Tanganyika mwaka  ………….a).1890   b).1894   c).1895  d).1885

14.    Masalia  ya  zana za  binadamu  yakale  yana patikana  wapi? a).bagamoyo  b).ismila  iringa  c).kondoa  Dodoma

15.    Mlima  mrefu  kuliko  yote  balani  afrika ni ……………………a).kilimnjaro  b).atlas  c).everest

16.    Eneo  linalo chibwa  madini  huitwaje ……………… a).machimbo  b).mgodi  c). shimo 

17.    Mstari  wa  ikweta  unanyuzi  ngapi  …….. a.)360  b).00  c).1800

18.    Mklutano  wa  berlin  ulianza  mwaka  …………….  Na kumalizika mwaka …   a).1884-1895 b).1885-1896  c)1884-1885

19.    Vita  vya maumau  vilifanyika wapi?.......... a).Kenya  b).Uganda c).kongo

20.    Afrika mashariki ipo  bara  gani? …………….. a).afrika   b).ulaya  c).asia 

21.    Mfumo  wa jua  umeundwakwa  sayari  ngapi ?.......   a).8   . b).7       c).9

22.    Madini  maarufu  yanayo  chimbwa katika  eneo la  uvinza  hapa  Tanzania ………….a).chuma  b).chumvi  c).tanzanite

23.    Tanganyika  na  Zanzibar  ziliungana  mwaka  …….  a).1961   b).1963   c).1964

24.    Sultani  wa  kiarabu said  sayyid alihamia  zanzibari  mwaka …………… a).1884  b).1964  c).1840

25.    Sayari  inayo  fanya  mizunguko ya  aina  mbili  ni ………………  a).sumbula  b).dunia  c).utaridi

26.    Pareto  ni zao ambalo hutumika  kutengenezea nini …………………. a).chakula  cha mifugo  c).dawa  za mifugo

27.    Kifaa  kinacho  pima  unyevuunyevu kinaitwa  a).haigrometa   b).barometa  c).anemometa 

28.    Moto  uligunduliwa  katika  kipindi kipi  cha  zama za mawe ?...............  a).kati  b).mwanzo  c). mwisho

29.    Rangi nyeusi  katika  bendera  yetu  huwakilisha  huwakilisha …………………..  a).mimea  b). watu  c).madini

30.    ……………  ni  lugha  rasmi  ya taifa  inayo  waunganisha wa Tanzania …………a).kisukuma  d).kinyakyusa  c) .Kiswahili

31.    Zao  kuu  la  biashara  katka  visiwa  vya  unguja  na pemba  ni ………………… a).mpunga  c).karafuu  c).pamba 

32.    Zaidi  ya asilimia  80 ya wa Tanzania  ni  …………… a).wavivu  b).wafugaji   c).wakulima

33.    Shirika  la umoja  wa  mataifa linalo  shughulikia  elimu, sayansi  na  teknolojia ni ….. a).UNICEF   b). UNIDO   c).UNESCO

34.    Bonde  la olduvai  linapatikana  katika  mkoa wa …………………. Hapa  Tanzania  a).kagera   b).iringa   c). arusha

35.    Ukabaila  katika  mwambao   wa  pwani   uliitwa …………….  a).nyarubanja  b).omukama  c).umwinyi

36.    Wanadamu   walianza  kujihusisha  na biashara  katika  zama  za …….a).mwisho  za mawe  b).chuma  c).mwanzo  za mawe

37.    Waarabu  walifika  pwani  ya  afrika  mnamo  karne  ya ……………………  a).6   b.)8  c).10

38.    Soko  kuu la watumwa  afrika  mashariki  lilikuwa   a).Zanzibar   b).bagamoyo  c).kilwa

39.    Wajerumani  walianza  kuitawala  Tanganyika  baada  ya  ………………  a).vita  kuu  ya kwanza  b).mkutano  wa berlin   c).vita  vya pili 

40.    Azimio  la Aarusha  lilitangazwa  mwaka………………….  a).1972  b).1977  c).1990

SEHEMU B: jaza  nafasi  zilizo achwa  wazi  

41.    Madini  ya  tanzanite  hupatikana katika nchi  ya  ………

42.    Zao  la majini  ambalo ni  mahususi  kwa   chakula  ni……

43.    ………….tukio  linalo  sababisha  maafa  balaa  au  madhara  makubwa

44.    Reli  ya  TAZARA  huunganisha  usafiri  wa treni kati  ya Tanzaia  na …………………..

45.    Dk. leakey aligundua  fuvu  la  mtu  wa kale  mwaka ……


 

MTIHANI WA MWISHO WA MWEZI DARASA LA IV

SOMO:MAARIFA YA JAMII

Chagua herufi ya jibu sahihi

1.     Inasadikika binadamu wa kwanz aliishi……   .a ) afrika   b).Australia   c). ulaya    d). amerika

2.     Nchini Tannzania sehemu zenye michoro ya mapango ni singida na ………………a).lindi        b).kondoa iringa   c).kigoma     d). kagera

3.     Zama za mawe zimegawanyika katika vipindi vikuu……………..a).vitano b) .vitatu c). vine d). kimoja

4.     Binadamu aliwinda wanyama na kuwatumia kwa ………….a). kulima b). chakula c). kufuga d). kuogelea

5.     Viongozi wa familia ni……………a).kaka na dada   b).dada na mama   c). baba na mama

6.     Wimbo wa taifa unapoimbwa tunatakiwa ……   ….  a). kusimama na kutulia  b).kukimbia   c). kucheza  

7.     Fedha zetu ni ……………. A). sarafu b) .noti tu  c).sarafu na noti

8.     Jua huchomoza upande wa   a).kusini   b).mashariki c).kaskazini    d).magharibi

9.     Dira ni …………..a).ramani    b).skeli      c).ufunguo     d).pande kuu za dunia

10.                        Sifa ya kiongozi ni ………………a. mwenye kulewa pombe b).mwenye tabia nzuri   c).mtu mporaji

 

SEHEMU  B ;  Jaza nafasi zilizo  achwa  wazi  

11.                        Kuna aina ngapi za demokrasia ………………………

12.                        Taja haki moja wapo ya mtoto …………………………

13.                        Kuna kiongozi wa kuchaguliwa na …………………

14.                        Bendera ya Rais hupepea wapi…………………………

15.                        Katika zama za mawe za kati binadamu aligundua …

 

SEHEMU  :   C      Andika ndio au hapana 

16.                        Umbile la binadamu wa kwanza halikufanana na lile la sokwe …………………………

17.                        Katika zama za chuma binadamu aliweza kuwinda wanyama wakubwa ……………………………..

18.                        Kazi ya kamati ya shule ni kuleta fedha shuleni ……………………………………..

19.                        Ardhi, madini,misitu, wanyama poli ,mito na maziwa ni maliasili ……………………………………

20.                        Fedha ni moja ya hela za taifa…………………………

SEHEMU     D.     Oanisha maneno ya orodha A na B ili kupata sentesi yenye maana

           ORODHA      A

21.                        Mimea iliyopo juu ya ardhi katika eneo Fulani ni

22.                        Makundi matatu ya uoto

23.                        Karafuu

24.                        Hupimwa kwa kutumia kipima mvua

25.                        Satilaiti moja wapo iliyopo angani ni

              ORODHA      B

A.    Mwezi

B.     Mvua

C.     Misitu ,nyasi na vichka

D.    Unguja na pemba

E.     Utoto wa asili

F.     Miomboni,mikoko na savanna

 

HALMASHAURI  YA   MJI  TUNDUMA

SHULE   YA MSINGI  UHURU

MTIHANI WA  SAYANSI

 

Sehemu   A:chagua  herufi  ya  jibu  sahihi

1.     Kipi  ni chakula   cha wanga  kati   ya   hivi  a.   Ugali       b.  Mtindi    c. Mayai

2.     Chanzo  cha  vitamin  ni pamoja na          a.    Chapatti      b. Embe      c.   Nyama

3.     Ukosefu  wa protini  husababisha …………. Kwa watoto  a.  Upele      b.  Unyafuzi      c.  Uvimbe

4.     Seli  hai  za damu  zinazo shambulia  viini  vya  magonjwa ni …………


a.      Seli  hai  nyeupe    b. Seli  hai sahani    c. Seli  hai za damu

5.     Ngozi haiwezi kubaini kati ya hivi …………………..a).harufu     b) .baridi    c). joto

6.     Msaada wa awali na wa haraka kwa mtu aliye jeruhiwa huitwa nini ?…….a).matibabu  b).dawa c).huduma ya kwanza

7.     Tunatunza mazingira ili……………..a).tuepuke na magonjwa   b). kuepuka upepo c). tupate ajira

8.     Ili mbegu iweze kuota inahitaji hewa joto la wastani na nini?..............a).udongo b). maji   c). mwanga

9.     …………….. ni jumla ya vitu vyote vinavyo mzunguka mwanadamu ………… a). mazingira b). misitu c). vichaka

10. ……………ni nishati inayo tokana na vyanzo mbalimbalivikiwemo jua,upepo, maji nafuel   a).umeme   b).mawimbi         c). sauti

11. ……………ni mchanganyiko wa gesimbalimbali   a). joto    b)  barid   c). gesi

12. Majanga ya asili ni yapi kati ya yafuatayo a). kimbunga, radi, mafuriko   b). upepo mkali,radi,umeme   c). umeme, ajali na moto

13. Zifuatazo ni sifa za viumbe hai isipokua …………..a).  kupumua    b). kutoa taka mwili   c). kulala

14. Mimea imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni ……………a ) shina, majani na mizizi   b) matunda, shina na majani     c). mbegu,majani na matunda

15. Sauti inayo akisiwa huitwa ………….a).radi   b) .mwagwi   c). baridi


SEHEMU B.    Oanisha sehemu Ana B ili kupata maana

      Sehemu      A

16. Ogani za fahamu

17. Unyafuzi

18. Msitari mnyoofu

19. Sabuni ya maji

20. Kichocho 

Sehemu      B

a.      Mwanga husufiri

b.      Vifaa vya usafi

c.       Kukojoa damu mwishoni mwa mkojo

d.      Ni vifaa vya usafi

e.      Ugonjwa unao sababishwa na ukosrfu wa protini

 


SEHEMU C:  Andika ndio au hapana 

21. Kifua kikuu na surua ni maganjwa yanayo enezwa kwa njia ya hewa……………………

22. Hewa y oksijeni husaidia kuzima moto ……………………………………

23. Mmea una sehemu kuu nne …………………………………

24. Maji si muhimu kwa afya zetu ……………………………………

25. Usanisinuru ni kitendo cha mmea kujitengenezea chakula chake ………………………………



                                                                                                                         

MTIHANI WA MWEZI  2

SOMO: HISABATI

DARASA: IV

 

1.     Andika 999 kwa maneno

2.     Anika tisini  na tisa elfu miamoja tisini na tisa kwa numeral

3.     Andika XLIX kwa namba za kiarabu

4.     Andika 39 kwa namba za kirumi

5.     Andika kwa maneno XXXVIII

6.     Andika thamani  ya 7 katika namba ifuatayo 23679

7.     XX + IX = jibu kwa  kirumi

8.     Ipi ni kubwa kati ya  XXI  au XIX ?

9.     18 + 23= jibu liwe kwa namba za kirumi

10.                        Andika kwa kifupi  20000 +9000 +500 +60 +7=

11.                        Andika namba inayofuata 11,22,33,44,…………………………………

12.                        5476 + 3465=

13.                        4798 – 2455=

14.                        44346 – 37016

15.                        11 x 2=

16.                        40 x 4 =

17.                        1/9   + 3/9 =

             

 

 

 

 

 

 

18.                        8/12  - 3/12 =

19.                        Ni sehemu gani iliyotiwa kivuli

 

20.                        Mapera 14, ukigawia watoto 7 kila mtoto atapata mangapi?

21.                        70 ÷ 7 =

22.                        Andika kwa namba saa moja na nusu

23.                        Andika saa  7: 20 kwa maneno

24.                        Saa               dakika
   4                    30
+ 5                    28
_____________

 

25.                           Saa                   dakika
        6                       25
   -   5                        15
_________________

 

 

 

 

HALMASHAURI YA WILAYA YA  MOMBA

MTIHANI WA  MWEZI  FEBRUARY 2021

SOMO: HISABATI DRS- VII


1.      1 1/3  ÷12 ½ =

2.      9 ¾  X 1 11/13 =

3.      21 5/8  + 34 4/5 =

4.      27 4/5 – 18 5/7 =

5.      16.9 +  27. 87 =

6.      23.21 – 19. 768 =

7.      2.76 X 3.8 =

8.      5.4 ÷ 0.018=

9.      987 + 3659 =

10.  14596 – 8789 =

11.  324 X 78 =

12.  (-49)  + ( +56)=

13.  2817 ÷ 36=

14.  (-27) – ( -39)=

15.  (-49) X ( -27)=

16.  (-105)  ÷ ( +7)=

17.  Badili 3 17/20 kuwa asilimia

18.  Geuz 1 8/25 kuwa desimali

19.  Badili 2.45 kuwa sehemu

20.  Geuza 0.0759 kuwa asilimia

21.  Andika 11 ¼% kuwa desimali

22.  Badili 7 ½ % kuwa sehemu

23.  Tafuta kigawo kikubwa cha shirika KKS  ya 72,108 na 162

24.  Tafuta kigawe kidogo cha shirika ( KDS) cha 27, 36 na 45

25.  Andika  MCMXLIV katika namba za kawaida

26.  Badili tani 31/4 kuwa kilogramu

27.  Je  meta 9250 ni sawa na kilometa ngapi

28.  Kunasekunde ngapi katika dakika 5

29.  Orodhesha namba tasa zote  zilizopo kati ya 120 na 130

30.  Andika namba inayofuata katika mfuatano huu 3,7,15,31…………

31.  Tafuta wastani wa uzito wa vijana wafuatao kg21,27,18,26,27,22,29,22.

32.  Tafuta thamani ya “x”       x  +  x  - 8 =6
                                              3      4

33.  Ikiwa 1/3 :8 ni sawa  N: 48. Tafuta thamani ya  “N”

34.  Ikiwa  a =8,b = -6,c= 4. Tafuta thamani ya     ab2 + bc
                                                                                   a-c

35.  Rahisisha  45mnx – 27mn
                           9mn

36.  Tafuta  ukubwa wa n     230

 

 


                             n      

37.  Tafuta thamani ya m

 

100

2m
  5

           

2m
  5

2m
  5

 

 

 

 


38.  Tafuta kipeuo cha pili cha 729

39.  Tafuta thamani ya “k”                      k

                                     Sm12
                                                    sm16

 

40.  Ikiwa bei ya kitenge ni Tsh. 5000/=, mteja  akipewa punguzo  la asilimia 30% je atalipa kiasi gani?

41.  Hamisi aliweka benki Tsh 60000/= kwa benki inayotoa faida 22 ½ % je baada ya  muda wa miaka 2 atakuwa na kiasi gani  benki.

42.  Marry alikwenda  sokoni kununua  mahitaji yafuatayo mchele  kg  8  @600/=  sukari kg 4 @900/= nyanya kg21/2   @ 800/=  mafuta lita6 @720=/  miche 8 @600/=  ikiwa  alitumia nauli Tsh 1500/=  je  jumla  alitumia  kiasi gani?

43.  Bei ya kg 18  za mchele ni  sh 32400  tafuta  bei ya kg 29  za mchele wa aina hiyo.