Wednesday, April 30, 2025

ARDHI ILIYOLAANIWA

 

Haya ni mafundisho kwa wale Watumishi wa Mungu ambao wanahitaji kuhubiri,masomo haya yanaweza kuwapa mwangaza katika kufikisha ujumbe,nimeandika kwa kifupi ila Roho Mtakatifu atakufunulia mengi na kukupa mafunuo zaidi

ARDHI ILIYOLAANIWA

Mwanzo 3;17-19

Mwanzo 4:10-15

Ayubu 28:2-6

Isaya 34:19

 

 

SHERIA ISIYOBADILIKA

Sheria:Ni kanuni au amri zinazowekwa ili kulinda au kusimamia kitu Fulani

-          Kuna sheria za kiroho

-          Kuna sheria za kimwili

Sheria ya Mungu

Mwanzo 26:5

Kutoka 16:4

Walawi 19:37

Zaburi 1:2-3

Kama hakuna sheria hutaona kosa

Warumi 5:13

Esta 4:16

Esta 1:16-19

Daniel 6:7-9

KUHARIBU KINYWA CHA LAANA

Laana ni mkusanyiko wa mambo mabaya yanayompata mtu

Zaburi 10:7-9

Hesabu 22:4-6,

Hesabu 22:12

,Hesabu 22:22,

Hesabu 23:1--------

IMETOSHA SASA

Imetosha ni kitendo cha kuamua kuchukua hatua au ni kitendo cha kuchoka kutokana na hali Fulani,mfano;shetani anakutesa na matatizo Fulani kama vile laana,umasikini,kuonewa n.k

Torati 1:6-7

Torati 1:8-9

Torati 2:1-3

Torati 32:30

Hesabu 33:1-3

Hesabu 33:5

Hesabu 33:37

Yoshua 23:10

 

KUVUKA MIPAKA YA KIMATAIFA

Yoshua 1:3-4

1Nyakati 4:9-10

 

KUFUTA PICHA MBAYA AKILINI MWAKO

Picha ni mtazamo ambao mtu anao kuhusiana na jambo Fulani mfano ugonjwa

1Samweli 17:1-58

Hesabu 13:17----------

 

CHANZO NI NINI?

Chanzo ni mwanzo wa kitu au kianzilishi au ni kisababishi au ni sababu.mfano umasikini chanzo chake ni nini?

Mithali 1:7-9

Mithali 8:26

2Wafalme 2:19-22

HUMWINUA MNYONGE TOKA MAVUMBINI

Mnyonge ni masikini,mtu asiyejiweza,hana mtetezi,mtu wa chini hana maana

1Samweli 2:8

1Samweli 1:1

-Rama (msufi)

-nchi ya vilima vilima

-Penina  & Hana

-Raheli

Danieli 6:1----------------

 

KUTAPIKA ULICHOLISHWA

Kulishwa ni hali ya kula kitu kwa njia mbalimbali na kinapelekwa mpaka tumboni

Mfano:

1.     Kupitia mdomoni

2.     Kupitia masikioni (kile unachokisikia kizuri au kibaya)

3.     Kupitia macho

4.     Kupitia puani

5.     Kupitia kwenye ngozi n.k

Ufunuo 10:9-10

Danieli 1:1-22

Mwanzo 2:17

 

KUZIHARIBU PEMBE ZA GIZA

Pembe ni mamlaka au ni kifaa ambacho kipo kwa wanyama Fulani

        i.            Kifaa hicho kinatumika sana na wachawi kama dira,inayowaelekeza kwa ajili ya kufanya uharibifu kwa watu

      ii.            Jamii nyingi za Kiafrika wanazo na wanatumia

    iii.            Vipembe hivi vinawekwa kama zindika

Danieli 7:7-11

-          Samba (anambawa)

-          Dubu

-          Chui vichwa 4

-          Mnyama mwenye kutisha

-          Bahari ni ulimwengu

-          Zekaria 1:18

 

Funguo yako Yesu


 

NEEMA YA KRISTO


 

Nguvu ya Yesu